Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,595
Hawa wanajeshi wetu sitaki kuwabeza sana ila wengi wao ni wapuuzi tu huku mitaani ndo waanzisha fujo kwenye disco, wanapambana na raia kama watoto tu eti kisa wana mafunzo ya jeshi?!!
Umeeleza vizuri ila mwishoni umeshangaza kulinganisha nchi kama yetu na Marekani hasa ulipotaja innovation na Drones. Tena sio ktk mambo ya kijeshi tu bali hata kazi yako unayofanya au biashara au chochote ulichonacho wewe huna jeuri yakujilinganisha na Taifa kama lile.
Inasikitisha Hii taarifa nimeiona weka sawa Kati ya Majeshi 20 Bora Tanzania HAIMO, Tumezidiwa hata na Zimbabwe, Sudan, Kenya, Uganda D.R.C,Angola wa kwanza Egypty .
Little Nations brag, world superpower sneer.
Ningeshangaa kama ungesifia chochote cha Tanzania!!!
Mkuu. Bayebe mambo mengine na wewe utumiage akili za kuzaliwa hata kama hujaenda shule,au hata bila kusoma hzo ripoti za wazungu..
Hivi na wewe kwa akilibzako kweli D.R.C,Sudan na Uganda wametuzidi.!!
Hata Zimbabwe wenyewe wametuzid Jeshi la Anga tu..