Tangazo kwa UKAWA wote

Tangazo kwa UKAWA wote

ni muda gani watakuwa na fikra hizo? wao wanataka siasa za kusifiwa na kuonekana itv. toka mwanzo sikukubaliana na uamuzi wa kutoka mle ndani,nadhani kuna udikteta kwa wenyeviti na makatibu wakuu waliolazimisha jambo hili la kutoka,kama kuzomea na matusi wote walifanya,kama kauli ya lukuvi hata wao wana kauli mbovu nyingi tu zaidi ya wanawaita intarhamwe,ni upuuzi tu huu

Afadhali wewe nawe umeliona hilo vyama vingi vya upinzani vinafanya siasa za showing off yaani kujiuza kwa media wenzao ccm wanapanga mikakati ya kuona mbele miaka mitano na kujipanga..mi nilishtuka na nikajua ccm lengo lao limefanikiwa ukawa walipokubali mgombea binafsi uchaguzi ujao..pumbafu zao ngoja waone
 
UKAWA chondechonde, msitudanye sisi watu wazima. Niko tayari kuutetea ukweli huu hata aje nani. Kama mmeshindwa kuzuia wizi wa kura za katiba ya CCM, kwa wajumbe wenu 67 wa UKAWA, mtawezaje kuzuia wizi wa kura wa katiba hiyo itakapopigwa nchi nzima. Haiingii akilini mwangu na wala haitaingia, ukweli huu unabaki kama ulivyo.

Msituambie mnasubiri wananchi kuikataa. Mtalinda kura vipi nchi nzima wakati mmeshindwa kulinda za watu wenu 67. Nimekasirika sana. UKAWA mmekuwa kama siyo wanasiasa. Hamkuwa strategic enough kwa hilo la kuzuia wizi wa kura. Bora mnyamaze tu.

Inawezekana niko mbali mkuu, Kuna UKAWA waliobakia mle bungeni au walirudi kwaajili ya kupiga kura? hebu nijuze hapo maana najua walikuwa mitaani na sioni namna ambavyo wangelinda hizo kura.

That is the much I know.
 
We stabiliza ni mwehu? Hata we unaweza kulinda,ila kama unaona yalofanyika bungeni kuwa sahihi bac we ni mmojawao.Hapana imeleta chuki nawatu kutishiwa maisha.Kwani kila mpiga kura nilazima aseme ndiyo?
 
Simiyu mmezoea kuwakatia viuno ccm,Ni haohao wanaohamisha watu na kisha kuwatelekeza.Ngoja yakufike au afanyiwe jamaa yako ndo utakubali upuuuzi wenu
 
UKAWA chondechonde, msitudanye sisi watu wazima. Niko tayari kuutetea ukweli huu hata aje nani. Kama mmeshindwa kuzuia wizi wa kura za katiba ya CCM, kwa wajumbe wenu 67 wa UKAWA, mtawezaje kuzuia wizi wa kura wa katiba hiyo itakapopigwa nchi nzima. Haiingii akilini mwangu na wala haitaingia, ukweli huu unabaki kama ulivyo.

Msituambie mnasubiri wananchi kuikataa. Mtalinda kura vipi nchi nzima wakati mmeshindwa kulinda za watu wenu 67. Nimekasirika sana. UKAWA mmekuwa kama siyo wanasiasa. Hamkuwa strategic enough kwa hilo la kuzuia wizi wa kura. Bora mnyamaze tu.

UKAWA wakati wanashangilia Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kipiga kura ya HAPANA na kutolewa nje ya ukumbi wenzao walikamilisha 2/3!!
 
UKAWA chondechonde, msitudanye sisi watu wazima. Niko tayari kuutetea ukweli huu hata aje nani. Kama mmeshindwa kuzuia wizi wa kura za katiba ya CCM, kwa wajumbe wenu 67 wa UKAWA, mtawezaje kuzuia wizi wa kura wa katiba hiyo itakapopigwa nchi nzima. Haiingii akilini mwangu na wala haitaingia, ukweli huu unabaki kama ulivyo.

Msituambie mnasubiri wananchi kuikataa. Mtalinda kura vipi nchi nzima wakati mmeshindwa kulinda za watu wenu 67. Nimekasirika sana. UKAWA mmekuwa kama siyo wanasiasa. Hamkuwa strategic enough kwa hilo la kuzuia wizi wa kura. Bora mnyamaze tu.

Mkuu we noma kweli, hawa jamaa watakuja na story zao za kila siku, wakija kwangu mi nitawadunda mangumi kilo kumi, washamba kweli hawa jamaa.
 
Mkuu we noma kweli, hawa jamaa watakuja na story zao za kila siku, wakija kwangu mi nitawadunda mangumi kilo kumi, washamba kweli hawa jamaa.
Hamna story hapa, walichemka. Sasa angalia walivyomleta mtu wa NCCR wa Zanzibar anaugulia kwenye TV. wanawanasheria kibao, si wangechukua kiapo halafu wakichakachua wana-challenge kura za kupitisha katiba pendekezwa mahakamani. Hawa-kuwa strategic. nilishasema nikamaliza
 
We stabiliza ni mwehu? Hata we unaweza kulinda,ila kama unaona yalofanyika bungeni kuwa sahihi bac we ni mmojawao.Hapana imeleta chuki nawatu kutishiwa maisha.Kwani kila mpiga kura nilazima aseme ndiyo?
Toa utetezi wa kutosha kuhusu uwehu wangu
 
Yaani we ulieandika hii thread umenifanya nisign in ili nikuambie kipimo cha ujinga wako kimezidi kawaida,ivi UKAWA una maanisha nini?,au unadhani wale ni CHADEMA tu?,sasa kama wameamua kujipanga kuzia huo wizi wa kura za katiba,wewe kama mtu mwenye akili timamu kwanini usiwasaidie au kujisaidia mwenyewe kwa kuilinda kura yako?,ivi unadhani jukumu la kuzilinda kura za wananchi ni la nani?,binafsi umeniudhi sana,mi c shabiki wa timu za siasa ila nimegundua jambo moja kuhusu watu wazima wasio na elimu vichwani mwao,huwa mnakurupukia tu mambo ya siasa na kujifanya mnayajua sana wakati kila mnacho kiongea kupinga suala fulani huwa na shinikizo la chuki binafsi,kuna watu wanasema UKAWA ni wajinga kwa uamuzi wowote wanao ufanya lakin hawaangalii wale wengine ujinga wao umejidhihirisha wapi!!,nawashauri watu wa aina yako wote muwe mnatafiti kabla hamja andika maoni yenu!,na USIWA SEMEE WANANCHI JISEMEE MWENYEWE!,hakuna mtu aliepewa kipaji hicho cha kuyatambua mawazo ya mtu bila wao kumueleza,nakushauri usikurupuke ndugu yangu na chuki zako usiwaambukize wengine pia,uhuru wa kuongea usiutmie vibaya ndugu,fikiri kwa kina kabla haujaongea chochote!!
 
jukumu la kuleta demokrsia ktk nchi sio jukumu la ukawa ni lako,sasa wafanyeje wako nje ya bunge,hivyo ni jukumu letu wananchi kupinga rasimu hiyo isije kwetu.....tatizo la nchi hii ni aina ya watu wake ambao sio watu wanaowajibika.

Ndugu nimependa sana uelewa wako,hawa watu si wazuri katika jamii yetu!
 
Back
Top Bottom