Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,852
Katika makala ya iliyopita nilizungumzia kwa kifupi kuhusu nyoka na kuna mtu aliniuliza kuhusu aina (species ) ambazo zinapatikana duniani.
Duniani kuna patikana aina 2750 na aina 450 zikipatikana afrika.
Na kuna aina tatu za sumu ya nyoka ambazo HAEMOTOXIC,NEUROTOXIC na CYTOTOXIC.
HAEMOTOXIC ni sumu yenye nguvu ya kuyayusha damu (this venom affecting the clotting mechanism of blood and bleeding).
NEUROTOXIC ni sumu inayo haribu mfumo wa neva (nervous system) mara nyingi mtu anaweza kuzimia pindi anapodhurika na sumu hiyo.
CYTOTOXIC ni sumu inayoharibu seli za mwili na sumu hii inapatikana katika nyoka aina ya VIPERS na PUFF ADDERS na wengine.
Nyoka wanatumia mitindo miwili katika kuwinda.
Moja ni CONTRICTION/PHISICAL METHOD ambayo hutumiwa na nyoka wasiokuwa na sumu.
Mtindo wa pili ni VENOMS au BIOLOGICAL METHOD ambayo ni ya nyoka watumiayo sumu.
iddyallyninga@Gmail.com