Ni Aibu Vijana Kuishabikia CCM

Ni Aibu Vijana Kuishabikia CCM

Leo kwenye tawi letu la CCM hapa Dar Es Salaam, vijana wengi sana wamejitokeza kuchukua vitambulisho vya UVCCM.

Vijana wanataka maendeleo, hawataki fujo na maandamano.
 
Naunga mkono hoja,kijana akishabikia CCM huwa nakosa imani nae na kwa mbaaali namshusha thamani.
 
Leo unaweza mpka kuingia mitandaoni kueleza unayoyaeleza nchi ikiongozwa na hao hao CCM.

Bado unalalamika kijana?

Ulitaka uletewe kila kitu kama mgonjwa? au ni mgonjwa kweli?

Au ni mazungumzo baada ya habari?

Labda anataka Gongo ihalalishwe.

Dr. Slaa alishagundua vijana wameshapatiwa kila kitu na CCM lakini bado hawaridhiki, akahisi wanahitaji kuhalalishiwa Gongo.
 
Ni aibu sana mtu unapewa Viroba na Mikate ili ukaandamane na kuishabikia chadema.
 
Hapana, si kuandika ili tubishane kwa hoja ambazo hazina mashiko, Hoja yangu ni kuwa ni Aibu kuona Vijana wanaishabikia CCM, Full stop, Ni kweli ni Aibu. Nimemaliza

Hii unasema wewe na kujiaminisha mwenyewe sio mbaya mkuu. Next time unaposema neno aibu jaribu kulipa justification zaidi na sio kumalizia kusema aibu tu as if ndio umeagizwa useme hivo, mfano ni aibu kutembea uchi kwa mtu mwenye akili timamu..hapa kila mtu ataelewa kwanini aibu.
 
Ni aibu kwa kijana kuwa msukule wa mbowe...kuburuzwa na kuaminishwa kila kitu bila kuhoji..!
 
Mtoa mada kwa hakika hajitambui suala sio CCM wala siasa bali suala ni vipi kwa njia zipi tunaweza kuondokana na matatizo mbalimbal kwanza sio matatizo ni changamoto tu..kusema tuchague lililo sahh si sawa maana halipo hilo sahh LA kuchagua sa usiniambie nichague fulan kisa tu unamaslah au upenzi nacho na usione wenzio hawana akili kila mtu anahaki ya kuchagua kile akitakacho wewe unadidimiza haki za hao unaowaona wapuuz hiyo ni kasoro kubwa ndugu
 
Teh Teh Teh!

Umemaliza kila kitu mkuu.

Leo kwenye tawi letu la CCM hapa Dar Es Salaam, vijana wengi sana wamejitokeza kuchukua vitambulisho vya UVCCM.

Vijana wanataka maendeleo, hawataki fujo na maandamano.

kinachookuuma wewe ni kuona ccm imesheheni wanachama wa kila lika.jenga chama chako acha kuchanganyikiwa

Labda anataka Gongo ihalalishwe.

Dr. Slaa alishagundua vijana wameshapatiwa kila kitu na CCM lakini bado hawaridhiki, akahisi wanahitaji kuhalalishiwa Gongo.

Ni aibu sana mtu unapewa Viroba na Mikate ili ukaandamane na kuishabikia chadema.

Hii unasema wewe na kujiaminisha mwenyewe sio mbaya mkuu. Next time unaposema neno aibu jaribu kulipa justification zaidi na sio kumalizia kusema aibu tu as if ndio umeagizwa useme hivo, mfano ni aibu kutembea uchi kwa mtu mwenye akili timamu..hapa kila mtu ataelewa kwanini aibu.

Ni aibu kwa kijana kuwa msukule wa mbowe...kuburuzwa na kuaminishwa kila kitu bila kuhoji..!

Vijana wanao shabikia chadema wanabidi wapimwe akili
Duh naona uzi wangu umekuna ajira zenu, mkaamua mtafutane mje hapa, karibuni Sana, nyie wote nawamudu, ndio nimeshamaliza kuongea kuwa NI UJINGA NA AIBU KWA VIJANA KUISHABIKIA CCM:-/ KAMA unaona nimekukera jinyonge
 
Umeandika kwa uchungu sana ! Hii ni ishara ya kuguswa na matatizo ya nayowakabili vijana wa nchi hii , ni hivi , hao hawakuwa vijana tu bali walikuwa vijana marafiki , ndugu , watoto ama jamaa wa viongozi , walikuwa ni WATENDA DHAMBI WA KAWAIDA TU ,WACHUMIA TUMBO NA WAKUFURU MUNGU TU , MAANA IMEANDIKWA KWAMBA USISHABIKIE MAOVU .
Erythrocyte chunga maneno yako tutakuroga wewe!
View attachment 195799
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa nadhani Professor Maji Marefu anahusika hapa. Au pengine Mwenyekiti wao Mzee Kingunge

Mkuu, hivi kingunge ni mtaalam kweli au vipi ? Maana mpaka leo sijaelewa kwanini masogange aliachiwa aisee !
 
Kama vijana wa chadema ndiyo kama huyu kamanda hakuna kijana mwenye akili timamu anaweza kwenda chadema.

Ha ha ha ha kweli kabisa mkuu bora ubaki huna chama!
Maana hadi Mwenyekiti anakula denda hadharani aisee!
ImageUploadedByJamiiForums1414069071.988584.jpg
 
Back
Top Bottom