Mtoto wa kitusi kaniomba msamaha

Mtoto wa kitusi kaniomba msamaha

Labda lakini mimi niko karibu kupata jiko. Sijui yeye vp? Nauaga aga ukapera nibaki njia kuu.

sioni dalili ya wewe kupata jiko wala sufuria make tangu umeanza story ungeshakuwa na mke labda na mtoto kaanza kutambaa lakini wapi!!!!
 
sioni dalili ya wewe kupata jiko wala sufuria make tangu umeanza story ungeshakuwa na mke labda na mtoto kaanza kutambaa lakini wapi!!!!

Haya ni maamuzi ya mwisho. Nimejistukia maana hata mambo hayasongi. Nitakuarika kwenye sherehe ya kufunga pingu za maisha.
 
kusamehe n sehemu ya uungwana, na anaejua kuomba radhi mara nyingi n mungwana anaejua kama yeye n binaadamu ana mapungufu. GIVE SEC CHANCE....
 
Ni tatizo et yani.
,haelewekiii kama mitihani ya la saba
 
Haya ni maamuzi ya mwisho. Nimejistukia maana hata mambo hayasongi. Nitakuarika kwenye sherehe ya kufunga pingu za maisha.

ushawahi kuning'arisha sharubu hivo hivo kwenye safari ya kwenda rwanda, hiyo harusi itanikuta nshazeeka mie
 
Tushajua umeombwa msamaha na umefatw kwenu na.baba mkwe cc Mafikizolo
 
Last edited by a moderator:
Najuta kupoteza mda wangu.hiko kichwa cha habari kilinivutia kumbee #£$¥¥
 
Nilokuwa nimesafiri kwenda kijijini kwetu. Mtandao ulikuwa haupatikani. Leo nimeingia kwenye jiji la mihangaiko.

Nadhani mtakumbuka mashariti ya wazazi wa mtoto wa kitusi yalivyo nishinda na kuamua kumwaga manyanga.

Wiki iliyopita alikuja nyumbani kwetu kijijini akiwa na baba yake. Aisee mtoto kapungua kabisa.

Aliponiona alimwaga machozi na kunikimbilia.

Kwaufupi wameomba msamaha na kusema hayo yote waliyoyasema hayatakaa yatokee.

Sikuwajibu chochote na tunategemea mwezi ujao tukakutane kwenye kikao na wazazi wangu.

Wana JF nifanye nini sasa hapa?


Ctrl Alt Del

Bonyeza kwanza hizo. Tutakuambia kinachofuata.
 
kwani vipi mkuu? watutsi hawaombagi msamaha? au hawaombagi msamaha kwa non-tutsis?

Jean-Marie what's your fixation with Tutsi? Kwa nini unapenda kuwafuatilia sana hawa kabila dogo tu barani Afrika? Embu tueleze tukuelewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom