Leo ndo viongozi wa "ENEO HILO" wanataka kujua kama ana kibali cha Bwawa hilo????!!!! WAMEKUJA TOKA NCHI GANI LEO HAO????!!! Hivi kuna uongozi hapo? Wao ndo wanapswa kuangaliwa kama wao ni viongozi au la!!!
Nikitaka kununua gari, je ili niwe salama kwa habari ya umiliki wa gari nililonunua kwa mtu ni mambo gani ya lazima kuyafanya kwanza kabla ya kuitumia barabarani yanayohalalisha umiliki wangu?
Nikitaka kununua gari, je ili niwe salama kwa habari ya umiliki wa gari nililonunua kwa mtu ni mambo gani ya lazima kuyafanya kwanza kabla ya kuitumia barabarani yanayohalalisha umiliki wangu?
Ni kweli kabisa. Na WEWE NDO WATU WANAPASWA KUKUPUUZA! Hapo umesema vema! Kwa jinsi ulivyovaa kwa nje ngozi ya kondoo lakini ndani ya moyo wako ni mbwa mwitu. Mimi tayari nimekupuuza sana.
Hadithi yako anaweza kuisoma mtoto wa chekechea tu na akaikubali si kwa namna unavyojaribu ikusaidie kutetea usichokielewa, bali kwa jinsi inavyofurahisha kama zile hadithi za paka na panya. HUWEZI KUJADILI JAMBO LOLOTE KATIKA BIBLIA KWA KUCHOMOKA NA MSTARI MMOJA WEWE! Biblia iko very ballanced...

Paschal nukuu zako zinaonyesha unafiki wako mkubwa. Kwa nje umevaa ngozi ya kondoo lakini ndani ya moyo ni zaidi ya mbwa mwitu. Anayekusoma juu juu tu ndo anaweza kudhani una nia njema. Iko shida kubwa ndani yako pamoja na kutumia nukuu za kidini. OVYO KABISA!
Hajalaani. Tena nimjuavyo analipenda sana taifa hili. ILA kama kuna laana unazozisema, basi LAANA NYINGINE NI ZA KUJITENGENEZEA WENYEWE. Wala asihusishwe mtu mwingine.
Waingereza wanasema..NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.
Nenda kafanye utafiti utakuja hapa na jibu lakweli. UMEME HAUPITI PALE MPAKA LEO KWA MIAKA YOTE HII.!
Kuna askofu mkuu mmoja nafikiri KAKOBE tangu wakati sakata la umeme wa TANESCO kubomoa mabango ya kanisa lake na waziri wa nishati wakati ule na wengineo kuja na mitutu pale na kuongea kwa jeuri flani, askofu huyu nafikiri alimpelekea waraka wa mambo kadhaa pia mengine Rais...
Nataka kucheki kwa simu kama natakiwa kulipia kiasi gani mapato TRA, gari. Msaada tafadhali namba zao wamebadlisha au ni zile zile 15341 ? Nimejaribu kutuma hapo lakini msg haiendi. Nimebadilisha simu lakini bado haiendi.
Sasa mtu wa kuwaita majini na wachawi waje ANAWEZAJE KUKAA KWENYE CHUNGU KIMOJA na KAKOBE anayewafukuza wachawi na majini yasiwatese watu wa Mungu???? Unawezaje kupokea taarifa za kanisani kwa mtu kama huyu Mwita majini na wachawi??? Ni sawa na kukaa chini giza likusimulie habari za nuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.