Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,458
hahaha, hata hivyo sidhani kama kuna walokole wanaosapoti ccm mkuu. ilikuwa kipindi cha Kulola tu aliyesema jk ni chaguo la Mungu, lakini kwa hawa waliobaki, wengi wako very against, and they mean it.Nafanya kumbukizi, ni kweli walokole walipokuwa 10 milioni by then, walisahaulika, jee sasa watakuwa wangapi, na jee wamekumbukwa?, ni kweli walisahaulika sana, afadhali Askofu Kakobe ametukumbusha kuwa walokole nao, japo hawavumi lakini wapo. Sasa mtakumbukwa, nasikia Askofu Kakobe anatafutwa!, nasubiri kwa hamu nisikie wakimkamata, watamuhoji kuhusu nini, maana wakimuudhi, akitoka na kuwaambia waumini wake kuwa "ccm ni adui wa Mungu hawataipigia kura hata mara moja", ila 2020...
Paskali