Hata viongozi wa dini nao wanavuta lile zao korofi naona,kama kauza sisi inatuhusu nini yaani hizi dini bila kushambulia upande wa pili basi haujahubiri kabisa.
Sasa mtu wa kuwaita majini na wachawi waje ANAWEZAJE KUKAA KWENYE CHUNGU KIMOJA na KAKOBE anayewafukuza wachawi na majini yasiwatese watu wa Mungu???? Unawezaje kupokea taarifa za kanisani kwa mtu kama huyu Mwita majini na wachawi??? Ni sawa na kukaa chini giza likusimulie habari za nuru. Amemkomesha Kakobe anayetoa majiniHALAFU ANAWAITA MAJINI!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.