chinekeeee
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,787
- 2,894
Habari za mchanu huu mubashara wakuu.
Kutokana na wizara hii kuwa na migogoro isiyo isha.Na serikali au watanzania kwa ujumla kutonufaika na madini. Na kupoteza hela nyingi nilikuwa napendekeza wizara hii ingegawanywa mara mbili yaani:
WIZARA YA NISHATI
WIZARA YA MADINI
(1)kwanza itampa waziri na katbu wake muda na eneo pana na kufatilia migodi na kujua kinacho endelea, badala ya kuangaika na nguzo za umeme wakati huohuo unaangaika na makonyena ya madini.
(2)wizara hii iwe na wataalamu wa madini kwel na sio wataalam wa umeme
NB: kwa upande wa umeme walikuwa wanaanza kwenda viziri kikubwa ni kuwapunguzi mzigo.
Au mnasemaje wadau??
Chinekeee