Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?

Mwalimu alisema tusijadili makabila.

Tanzania ni taifa liimeundwa tokana na makabila 120+ na wote tunaitwa Watanzania....!
Nyerere alikuwa MZANAKI wa Mwitongo hapo Butiama-Bunda na hakuwahii kukana kabila lake..!!
Ukisafiri popote Tanzaniia ukafikia Hotel au Guest unapojisajilii kwene Kitabu cha Wageni kuna kipengele cha UNAKOTOKA, UNAKOKWENDA, ULIPOZALIWA na KABILA LAKO.....!!!
Vipengele hivi viimewekwa maksudi katika kufanya CHECKS&BALANCE ili kujua movements za Watz na Wagenii toka nje kwa NIA NJEMA KABISA YA KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU na muhiimu zaidi USALAMA WA NCHI....!!!!!
 
Mzalendo2015
Ukianza kufuatilia asili ya watu waishio KIGOMA na kagera wengi wao ni kutoka Burundi ama Rwanda.sababu ni kwamba mipaka ya nchi jilani na mikoa hii inaingilika.mfano halisi ni kwamba wakati tunaishi kakonko eneo la Malenga ilikuwa rahisi kuvuka mipaka kwenda Gisagara na Chankuzo ambayo ni mikoa ya Burundi kwa urahisi.
Pia warundi wengi wako kigoma na kujipatia uwenyeji na kuwa wakazi halali ( kwa mujibu wao) kwani kabla walikuja kama vibarua Wa kulima (warundi wanasifika kwa uhodari Wa kulima) sasa wakifika huanza kujifunza lafudhi ya kiha.Kwao lugha siyo tatizo kwani kiha na kirundi maneno ni Yale yale.
Wakishajua lafudhi huhamia mikoa mingine kama Kagera,Tabora ama Dsm huku wakijinasibi kuwa ni waha.Kwahiyo katika msingi huo watu wa kigoma na kagera wana ndugu zao burundi.
Kwa sasa niko dsm na kwakuwa kiha ndo lugha yangu, kirundi kwangu siyo taabu.Nilishangaa kuwakuta warundi wengi huku dsm wakijinasibu kuwa ni waha.Kwa walioko dsm Kigamboni maeneo ya kwa Urasa ajaribu kuwachunguza wale wauza maji chini ya mti karibu na banda la video atajua kuwa ni waha lkn kwa mtu anayejua kiha atagundua tofauti ya kiha chao na kiha halisi.
Jpm Kuwa Muha sishangai kwani baba yake alitengana na mama yake kabla hata JPM hajazaliwa.

Nyamalagala,
Mwakeye na mwarai? Hoja zako ni nondo as I see.....!!
Ulichoeleza ni correct by 100% na kama kuna mtu hakubaliiani na hoja zako atakuwa na mtindio wa Ubongo.........!!!
Kwa maelezo yako we can therefore conclude that His Excellency JOHN JOSEPH WALWA MAGUFULI IS A...................BY TRIBE AND THE..................BY NATIONALITY FROM................!!!!!!!!
Kazi kwenu wana JF.
 
Nchi na vituko vya kubadili gia angani
Tilikua kwenye kelele za mafisadi zikapita
Tukawa kwenye watendaji wabovu ndani ya serikali limepita
Tukalia na wenye vyeti feki
Tukaja ya watekwaji
Uwanja wa wa ndege chato
Bunge live
Na mengine mengi
Sasa tupo kwenye maombezi na toba (yaani kutubu ) DINi vs SIASA
Yote ni mhemko itapita
2018 tusubiri mapya mengine
 
Nyamalagala,
Mwakeye na mwarai? Hoja zako ni nondo as I see.....!!
Ulichoeleza ni correct by 100% na kama kuna mtu hakubaliiani na hoja zako atakuwa na mtindio wa Ubongo.........!!!
Kwa maelezo yako we can therefore conclude that His Excellency JOHN JOSEPH WALWA MAGUFULI IS A...................BY TRIBE AND THE..................BY NATIONALITY FROM................!!!!!!!!
Kazi kwenu wana JF.
Mzalendo2015
Umeua kila kitu. Ulakoze chane mwenewachu
 
Mwezi wa saba mwaka huu nikiwa biharamulo nyumbani nilikutana na ndugu zangu.katika maongezi yetu tuligusia kuhusu utendaji wa JPM. Sasa ndugu mmoja akanambia kuwa suala la JPM kuwa mtu wa chato ni sawa ila wazazi wake ni WAHA kutoka KIBONDO (zamani lkn sasa ni wilaya ya KAKONKO). Ushuhuda ni kwamba JPM na wazazi wake asili yao ni kata ya BUKILILO jilani na kata ya KASANDA.
Nilichoelezwa na ndugu yangu ni kuwa familia ya wazazi wa JPM walikuwa na mgogoro wa kindoa hata kabla ya JPM hajazaliwa na hapo ikabidi ndoa ivunjike.Mama Yake JPM aliondoka BUKILILO akiwa mjamzito na kwenda CHATO na kuanza maisha mapya huku akiwa mjamzito.(inasemekana kuwa baba MZAZI Wa JPM alibaki BUKILILO baada ya ndoa kuvunjika.)
Kwa walioko BUKILILO na wanamfahamu baba halisi wa JPM walishangaa kusikia eti JPM ni msukuma wakati wazazi ni waha tena jimbo la BUYUNGU kwa Injinia ATASHSTA NDITIYE ( Naibu waziri - uchukuzi zamani jimbo likiwa kwa Injia CHRISTOPHER CHIZA aliyewahi kuwa Waziri wa kilimo na umwagiliaji.)
Ukoo wa Wazilankende upo pia katika kabila la waha kama ilivyo kwa wahaya.
Nayaongea haya kwakuwa nina ndugu zangu WAHA na Mimi ni Muha japo kwa sasa tunaishi Biharamulo tangu 2003. Kuna wazee wanamfahamu baba Yake mzazi wa JPM aishiye Bukililo.
Kikwete alipata kusema ukitaka kumjua baba yako ingia siasa
Maana kwa kikwete kwakuwa baba yake alikuwa asili ya chief wa kikwere...alipoenda kufanya kazi kilimanjaro akawa rafiki wa chief thomas marealle ,ukitazama weupe wake huku ndugu zake weusi wakamzulia kuwa ni mchagga mtoto wa marealle...

Kuna picha ya utoto ya jpm ilipata kutoka mwaka 2014 Akiwa na baba yake ambaye kwa wajihi anaonekana mnyarwanda,ila sasa hapa naona mjadala wa mayalla umezaaa conspiracy kibao

3eeb5e23fa239a3aa62ce69b5bf86eb1.jpg
 
Kikwete alipata kusema ukitaka kumjua baba yako ingia siasa
Maana kwa kikwete kwakuwa baba yake alikuwa asili ya chief wa kikwere...alipoenda kufanya kazi kilimanjaro akawa rafiki wa chief thomas marealle ,ukitazama weupe wake huku ndugu zake weusi wakamzulia kuwa ni mchagga mtoto wa marealle...

Kuna picha ya utoto ya jpm ilipata kutoka mwaka 2014 Akiwa na baba yake ambaye kwa wajihi anaonekana mnyarwanda,ila sasa hapa naona mjadala wa mayalla umezaaa conspiracy kibao

3eeb5e23fa239a3aa62ce69b5bf86eb1.jpg
Naomba kuuliza wahenga wenzangu humu je miaka kati ya 50s na 60s kulikuwepo picha za rangi? Mimi wa miaka kati ya 60s na 70s lakini nakumbuka picha zilikuwa black and white. Nikipata jibu nitatoa mchango wangu kuhusu picha hii.
Asanteni
 
Nadhani ndugu Mayalla majibu utayapata, ingawa wasiwasi wangu ni kuwa watu wanaweza kutumia vibaya yatokanayo na swali hili - hata mimi napenda ningesikia kuwa chimbuko lake Kijiji cha Kiga, Wilaya ya Kakonko - Mkoa wa Kigoma.
 
Paschal nukuu zako zinaonyesha unafiki wako mkubwa. Kwa nje umevaa ngozi ya kondoo lakini ndani ya moyo ni zaidi ya mbwa mwitu. Anayekusoma juu juu tu ndo anaweza kudhani una nia njema. Iko shida kubwa ndani yako pamoja na kutumia nukuu za kidini. OVYO KABISA!
 
Basi naye ni wa kule ila ana uraia wa kuzaliwa kwa asili ni rwandair au Burundian.
Haina shida mbona tumewapa uraia watusi na wahutu. Ukorofi kumbe wa kurithi.
Tulishapigwa tayari hata ile ziara yake ya kwanza hakukosea alienda kufurahia kiti pamoja na ndg zake wa damu.
Shida ipo tena kubwa.
 
Mtu anafanya dhambi kubwa ya kuvunja katiba ambayo aliapa atailinda halafu unasema kutubu kwake ni mambo binafsi hebu acha upumbavu wewe mammalia
Kwa sisi Wakatoliki ibada zote na misa takatifu vinaanza na sala ya asubuhi, na katika sala za asubuhi, kuna sala ya kutubu, inasema hivi, Namuungamia Mungu Mwenyezi nanyi ndugu zangu, kwani nimekosa mmno, kwa mawazo kwa maneno, kwa vitendo, na kwa kutotimiza wajibu,nimekosa mimi, nimekosa sana, ndiyo maana namuomba Bikira Maria, nanyi ndugu zangu, niombeeni kwa Mungu mwenyezi,au Mungu wangu nimetubu dhambi zangu, kwani ndiwe mwema ndiwe mwenye kupendeza, wachukizwa na dhambi, basi sitaki kukosa tena, nitafanya kitubio, naomba neema yako nipate kurudi, Amina.kwa hiyo Raisi Magufuli anatubu kila anapoenda kanisani, hapaswi kuambiwa na kakobe, kakobe yeye adili na waumini wake
 
Back
Top Bottom