Recent content by Awe2

  1. Awe2

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia comment za vijana wa kitanzania kuhusu maandamano ya Kenya ni kama mnatamani ila mnashindwa nani aanzishe. Msithubutu tuipende nchi yetu

    Wala hii hali haina mda mrefu ndugu yangu kwa majbu ya akina mwigulu na chalamila kuwaona wanao hoji hawana akilini utayaona mwakani2 wala cyo mbali na itakua kubwa kulko ogopa sana watu wa kimya, endeleen kusema Mama anaupga mwingi
  2. Awe2

    JamiiForums Tanzania Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

    Ninaomba no yake mkuu maana niko Arusha hapa
  3. Awe2

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Chukua chumvi, mavuta ya taa na sabani ya ya unga changanya kwa uwingi inao jua utatosha kupulizia sehemu yako tumia Spray au kifaa chochote kinacho weza kusaidia kunyunyizia ukiwaona jua umelogewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Awe2

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Tujifunze uvumilivu mi cjaona sababu ya kuona usalama wake ni mdogo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Awe2

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa Waziri Jafo kuwa mwislamu na hasira kali aliyopata hadi kumsimamisha mtumishi mlevi kazi?

    Ukimwangalia vzuri wala haiumizi kichwa kugundua kua alikua amelewa hivyo huyu alipaswa kupuuzwa japo kakosea sana. Naamini angechana Biblia wala hakuna hata ambae angeipost maana wangempuuza na hakuna ambaye angepata hacra kwa hilo, sasa kwakua kachokoza mwenyewe nnafikiri apate kinacho...
  6. Awe2

    JamiiForums Tanzania Kumbe kwenye king'amuzi cha DSTV chaneli ya TBC sio bure tena!

    Cyo DSTV pekee mkuu.hata continental hawana hiyo ya local chanel mkuu yaan hivyo kwel ila ninunyaswaji kwa kwenda mbele wangetuacha tulipe2 maana tushazoea. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Awe2

    JamiiForums Tanzania Maji gani ya chupa unapenda kunywa na kwanini?

    Hill ndo kiboko Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Awe2

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola amuweka ndani Mkuu wa Kituo cha Polisi kwa kushindwa kuwaweka mahabusu watuhumiwa wanne

    Kwa Mara ya kwanza kaugusa moyo wangu safi sana. Huo ndo uninja sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Awe2

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Juliana Shonza na Clouds media kutaka kumuangusha Diamond ni za kweli?

    Mi mwenyewe nimepitia alivyo andika nmegundua kua kuna watu wanafanya uchochezi mkubwa na hawafanywi kitu hii cyo sawa ila wacha wafanye wajuavyo nnaamin Mda utasema haya nimapito2. Yaan mtu anaamka anaanza kutunga uongo aaah Watatufikisha kituoni2 maana Tushapanda Gari yao
  10. Awe2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

    Dah Mungu atupe ujasiri wanaume tunapitia wakati mgumu kwel.kumekua hatar kuliko club na Bar yaan unajkuta unapatwa na huruma ya Upendo maana cyo kwa ulain Wa mikono jaman ooooh Tupendane jaman tuweke mgomo
  11. Awe2

    JamiiForums Tanzania Masafa ya Clouds FM Arusha

    Pole sana mwanafamilia Wa clouds Arusha. Kunashort ilitokea ikaunguza Buster ya kurushia matangazo hapo mlima Wa Radio hvyo mafundi wako hapo wanarekebisha Tuvumilie kidogo mkuu najua inavyo uma
  12. Awe2

    JamiiForums Tanzania Simu yako ina utambulisho halisi?

    _±±±·:’”†@#€‰&∅8⅞⅞6⅝⁴⁴³³⅔¹]{
  13. Awe2

    JamiiForums Tanzania Mchungaji amnunulia mtoto wake wa miaka 4 gari la milioni 900 aina ya Maserati Levante

    Sasa miaka 4 anauwezo wa kuendesha gari? Au kajinunulia2
  14. Awe2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwaka 2015 nlienda Kilimanjaro huyu dada akataka kulitafuna/kulichoronga gegedeo langu(p*n*s)

    Safi sana mi nshawahi kupata kidonda nkakaa mwezi ndo kigegedeo kikapona na kunanaumivu makali sana hata ctakukumbuka
  15. Awe2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nifanye nini kuacha kumuota dada yangu kimapenzi?

    Unamatatzo kijna na bila kutendea haki ndoto utajikuta unafia ndoton ndoto kama hyo niyakutekeleza2 Maana Hugo kwanza cyo Mtanzania hapo unwakilisha Nchi
Back
Top Bottom