Kwanini maji hayo hayaeleweki?Naona mlikuwa mnashindanisha uzur wa chupa za maji, dew drop ana bonge la chupa ndo mana anapendwa. Kampun nying za maji hazotofautian viwango ila mm ntataj kampun zinazotoa maji hayaelewek. kilombero,dasan na uhai maji yenu hayaelewek
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeeees haya maji ni matam .....kwangu yanafuatiwa na dasaniUdzungwa. Niliyapenda siku hio hio.. Kiasili maji hayana radha lakini haya matam Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ya maji hayo kili yana pH 7.0 ndanda yana 7.5ph ......hivi yapi bora kati ya hayaMaji nambari moja kwa Ubora ni Kilimanjaro na maji nambari mbili kwa tank ya Ubora ni NDANDA SPRING. hebu yajaribu uone utamu wa Maji ndanda
Naunga mkono hojaAFYA UDZUNGWA NA RUNGWE nchi nzima hamna maji kama hayo utadhan unakunywa maji ya mvua au chemchem ya maporomoko.Mangine yana ukakasi wa chumvi kwa mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ya moto au maji ya baridi ndiyo humaliza kiuMimi napenda sana sana Kilimanjaro na Dew Drop. Binafsi hupendelea zaidi maji ya moto ,humaliza kiu taratibu naunawezo wakuwa na kiu na kiu ikakata Bila kunywa maji mfano safari
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru peak ndo koboko yaoBaada ya mfumo was maji ya chupa kuingia nchini miaka so mingi Sana watu wengi wa wa mijini na vijijini baadhi yao wamekuwa wakiyatumia maji hayo wanapotaka kunywa maji.
Ni aina gani ya maji ambayo umekuwa unapenda kunywa unapopata kiu na kwanini.....