Masafa ya Clouds FM Arusha

Masafa ya Clouds FM Arusha

mafutamingi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
2,775
Reaction score
2,198
Jamani tangu Jumatatu siwapati Clouds FM, Arusha kwa masafa ya 88.1! Ninamiss sana PB, Jahazi na Sports Extra. Kama wamebadili naomba masafa yao mapya. Shukrani
 
Hujajibu swali. Nafahamu kuna online lakini ninachotaka ni masafa kwa ajili ya kusikiliza kwenye radio
Pole sana mwanafamilia Wa clouds Arusha. Kunashort ilitokea ikaunguza Buster ya kurushia matangazo hapo mlima Wa Radio hvyo mafundi wako hapo wanarekebisha Tuvumilie kidogo mkuu najua inavyo uma
 
Asante, sasa nimepata amani kwa kufahamu kwamba kuna tatizo. Kweli ianuma sana kum -miss Babra!
 
Pole sana mwanafamilia Wa clouds Arusha. Kunashort ilitokea ikaunguza Buster ya kurushia matangazo hapo mlima Wa Radio hvyo mafundi wako hapo wanarekebisha Tuvumilie kidogo mkuu najua inavyo uma
Duu aise tunapata shida hasa PB magazeti na sport
Pole sana mwanafamilia Wa clouds Arusha. Kunashort ilitokea ikaunguza Buster ya kurushia matangazo hapo mlima Wa Radio hvyo mafundi wako hapo wanarekebisha Tuvumilie kidogo mkuu najua inavyo uma
 
yaelekea wewe ni mtu wa umbeaumbea, ushilawadu, majungu na ushakunanku mtaani! sikiliza radio za maana ili utoke ktk ufukara ulionao wa kimbeambea!
 
Hahaha sasa kama hata Papa Francis anajihabarisha kupitia shilawadu who are we not to.
 
Back
Top Bottom