Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

Chukua chumvi, mavuta ya taa na sabani ya ya unga changanya kwa uwingi inao jua utatosha kupulizia sehemu yako tumia Spray au kifaa chochote kinacho weza kusaidia kunyunyizia ukiwaona jua umelogewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mamaeer umeuwa hahahah
Mkuu dawa ya kunguni sio dawa za kununua madukani... hawa wadudu hawarespond na hizo dawa hata kidogo.

Solution ni kuchemsha maji ya motoooo then mwagia chaga na kitanda chote kwa ujumla.
Then chukua godolo ulipige pasi(ule moto wa mwisho kabisa) .
Then fua mashuka kwa maji ya motooo sana..

Rudia hio procesure kil weekend kwa mwezi mmoja utakuwa umewamaliza kunguni woote
 
Heat treatment is the most efficient way of eradicating bed buds it burns live ones and kill the eggs. Most chemicals can't penetrate the egg shells and it's hard to find all their hideous. With heat they have no where to hide.
Let the professionals do the job.
 
W
Habari wakuu!. Naomba msaada kwa anayejua dawa ya kumaliza kunguni kwa haraka. Msicheke nafanya usafi wote lakini bado nimepulizia rungu wapi, nasijui niliwatoa japo nna wasiwasi na kwenye basi moja la mkoani.
Miezi miwili iliyopita nilikutana na Maasai mmoja ktk duka la madawa ya kilimo nikitafuta dawa ya kuua paka anayekula kuku. Yeye alitaka dawa ya kuulia kunguni wakampa ile diazon. Akasema hii haiui. Sasa akawaambia wampe ile dawa ya kunyuzia ktk mimea inaitwa E40 ina hrufu kali sana. Akasema hiyo ndio inawaua. Ile dawa ikipigwa inatoa hrufu kewnye mimea hata siku 3 na zaidi.
 
Sabuni ya unga Omo au Arial changanya kwenye maji nyunyizia maeneo yote korofi

UTAWAMALIZA KABISA ( sauti ya tangazo la rungu spray)
 
W
Miezi miwili iliyopita nilikutana na Maasai mmoja ktk duka la madawa ya kilimo nikitafuta dawa ya kuua paka anayekula kuku. Yeye alitaka dawa ya kuulia kunguni wakampa ile diazon. Akasema hii haiui. Sasa akawaambia wampe ile dawa ya kunyuzia ktk mimea inaitwa E40 ina hrufu kali sana. Akasema hiyo ndio inawaua. Ile dawa ikipigwa inatoa hrufu kewnye mimea hata siku 3 na zaidi.
Dawa ni lava tu ila harufu ndio kero
 
Kunguni hafi ni majini ya kulinda shule au nyumba iliyozindikwa, kipindi nipo a level tulijalibu kuwaondoa chemsha maji hola, puliza dawa hola ikabidi tuishi nao. Adi saizi wapo kweny ile shule
 
Kama mjuavyo wana JF, kuna mdudu korofi (kunguni) ambae hata ukiamua kumuachia chumba ili aspate chakula kwa muda wa miezi miwili unamkuta yupo tu anakusubiri. Sasa kama unaijua dawa nzuri au njia yoyote ya kuwateketeza hawa viumbe msaada tafadhali kwa manufaa ya wengine.

Karibuni
 
Kama mjuavyo wana JF, kuna mdudu korofi(kunguni) ambae hata ukiamua kumuachia chumba ili aspate chakula kwa muda wa miezi miwili unamkuta yupo tu anakusubiri. Sasa kama unaijua dawa nzuri au njia yoyote ya kuwateketeza hawa viumbe msaada tafadhali kwa manufaa ya wengine.

Karibuni



Utakusaidi huu uzi
 
Back
Top Bottom