Recent content by avikadabra

  1. avikadabra

    Suzuki Carry Inauzwa bei ya Kutupwa

    ukiagiza toka Japan hadi inaingia barabarani kwa sasa ni mil 8 laki 7 na 39 elfu..
  2. avikadabra

    Housegirl amtesa kinyama mtoto, arekodiwa kwa siri

    nimeku pm namba yangu nitumie whatsap mkuu..
  3. avikadabra

    Msimamo wangu

    Wengine walikuwa Ba masharti arobaini na nne lakini walipofika 36 years old bila huyo mume sasa hawana sharti hata moja and still singali and searching.. ngoja ugonge 32 kwenda mbele afu upo single uone kama utakuwa na guts za kutaja hata sharti moja.
  4. avikadabra

    Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

    kila mtu na bahati yake wakuu, kuna wanawake wenye phd ni wake wazuri ever.. binafsi wife wangu ni kidato cha nne na hajielewi kama mke na utata usioisha sasa sijui itakuwaje akipata walau certificate tu?
  5. avikadabra

    Waeleweni wake zenu

    hii inaweza kuwa na ukweli lakini jinsi ganiutajua sababu ya mwenza kutaka kuingia kunako ndoa? manake nahisi ni muhimu kujua sababu kabla hujaingia ndoani.
  6. avikadabra

    Kwa nini umechagua Shahada ya Ualimu?

    acheni kudanganya watu na kujipa moyo kijinga jinga, ualimu ni very challenging especially siku hizi.. eti muda wa kusimamia miradi? miradi ya kuuza bangi? unapangiwa sehemu hata network hakuna na watu ni very conservatives aaaargh mie najuta kwanini nilichagua hii kazi..
  7. avikadabra

    Wababa wengi wa Kiafrika mnategea malezi, matola na mnakomaa na single mothers pateni majibu yenu

    Im so proud of my mama, japo baba alikuwa na kazi yake nzuri ila mama ndo alifight elimu ya watoto wake wote kwa mshahara wa ualimu wake na baba kumuona ikikuwa ni nadra sana na siku ukimuona ni kpigiwa kelele za mipombe tu.. my old boy has never been an example to me hata siku moja japo siku...
  8. avikadabra

    Wababa wengi wa Kiafrika mnategea malezi, matola na mnakomaa na single mothers pateni majibu yenu

    kweli hata saa mbovu iko na sekunde moja ya kuonyesha muda sahihi katika kila masaa 24, lara 1 kathibisha hili leo.. ni ukweli ulio wazi wengi tuliolelewa na akina baba wa kiafrika kwa maana halisi ya uafrika ni kama tumelelewa na mama peke yake, manake wengine hata mwezi uliweza pita bila...
  9. avikadabra

    Ubaya wa kazi ya ualimu ni upi?

    binafsi sioni tatizo lolote sababu hata wakuu wa siku hizi sio conservatives kwa hiyo nafasi ya kufanya mishughuliko mingine ni kubwa sana kama ukiwa MTU wa hivyo shida ni inferiority complex inayosababisha myopic perception ya kila kitu miongoni mwa waalimu wengi sana....
  10. avikadabra

    ni ulimbukeni (UBOYA) kuwa na simu ya gharama.

    tatizo hapa mnashindwa kuelewa kwamba "gharama" ni relative term na sio absolute, kwa mfano wakati mleta Uzi analalamikia hiyo laki saba ya kununulia xperia z2 ati ni gharama kwake, kuna watu wanareply Uzi wake wakiwa mnemba island Zanzibar wamelipa 1 mil per single night..
  11. avikadabra

    Inaniuma sana kila nikifikiria

    we hujui kama shati lililochakaa ndo tambara jipya la deki? na halua haina kiporo hat a ikilala?
  12. avikadabra

    Dr Leakey upo wapi? Bado haujapata wa kuziba pengo lako, rudi kwenye game

    "huonagi" kwa sababu labda "huwaonagi" hao wachambuzi wengine ili kujua uwezo wa doctor ..... kurahisisha hebu tutajie ambaye "unamuonaga" ana jipya katika uchambuzi...
  13. avikadabra

    Dr Leakey upo wapi? Bado haujapata wa kuziba pengo lako, rudi kwenye game

    mnaodai doctor hana uwezo huo hebu tajeni wa kumlinganisha nae hapa Africa hata Terry Paine Mbe name Thomas Mashala wa super sport jamaa wanamsomea mbali coz hata porojo zake ni from a unique perspective sababu ana exposure ya kuwazidi wachambuzi lukuki kitu ambacho asilimia kubwa ya...
  14. avikadabra

    Maandishi sikusoma wala picha sikuona

    mapenzi na mahusiano sio kama hisabati had I ufuate kanuni zote hizo ndio maana mnashindwa kuinjoy to its maximum sababu mnafanya "love engineering" kitu kinachoongeza ukakasi kwenye mapenzi na mahusiano, ni lazima ujue kwamba rafu ni part and parcel ya football na zina raha yake mchezoni...
Back
Top Bottom