Mkurugenzi Halmashauri Mbinga ni Majanga, DC fuata upepo

Mkurugenzi Halmashauri Mbinga ni Majanga, DC fuata upepo

Huu ni unafiki, DED wa Mbinga ni bwana Ngaga? au DC ndio Ms. Ngaga? kitendo cha kuchanganya majina na jinsia kinaonyesha wewe ni mwongo mnafiki, umetumwa na unatumika kama toilet paper. Aliokutuma mwambie akupe data vizuri, angalau jinsia na majina basi. Bado unayo nafasi ya kuedit, your post. au wewe ni mkandarasi ulikosa tender kwa kutoa rushwa ndogo? ongeza dau ndo maisha ya kibongo hayo mpaka mtuondoe madarakani cha moto tutakuwa tumewaonyesha. Hii ndo serikali ya sisi maCCM. na next year tunamweka brother EDO hapo ndo dau la rushawa linapandam kama unalia saa hivi, next year utazimia kabisa.

DED anaitwa Hussein Ngaga na DC anaitwa Senyi Ngaga
 
Wewe Legera Nafikiri huna unachojua au hufanyi tafiti, au unakula Nao Hao Watu Mimi Niliandika Kuhusu
Barabara ya Luhagara Lutumbandyosi -KINGOLI hiki kijiji ni kama kipo kisiwani nasema hivi ile Barabara
haijawahi kutengenezwa kwa kipindi chote cha uongozi wa Raisi kikwete je ni kweli hiyo Barabara haijatengewa fungu la ukarabati wa hiyo Barabara? nilifanya uchunguzi nikagundua kuwa
hawa watu Yaani mkuu wa wilaya mkurugenzi ,Diwani wa kata ya litumbandyosi, meneja wa Tanroads mkoa
na watendaji wengine wanajua na mimi nawapa salaam Naendelea kufuatilia Na nalifikisha hili swala ngazi ya
Taifa siyo huko tena Maana Wizi kwenu ni katiba hizo ni salaam kwenu

 
Mbinga tuamke tutaongozwa na viongozi wazinzi,makahaba,malaya hadi lini? wanashindwa kufikiria maendeleo wanafikiria umalaya hawa ni majanga hawatufai kabisaaaaaa

ndani ya ccm hakuna asiye mzinzi, na hii ndio kauli mbiu yetu uzinzi ndio silaha yetu.
 
DEO aliiba shilingi ngapi? Na ushahidi mnao wewe na huyo unaemtetea ? Ni kwamba vijana wa kazi walishaingia Mbinga na kazi wamemaliza na cha moto atakiona na atapopigwa nyundo asimuhusishe DEO ambae wanahgombania wanawake

wanawake wote hawa kuna haja ya kugombania madem .kugombania demu ni sawa sawa na kumgombania israeli
 
dc.JPG


Mkuu wa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Senyi Ngaga
1.JPG


Mkurugenzi mtendaji, Halmashauri wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, Hussein Ngaga.​

Hawa watawala ni ndugu !!
Mbona majina yao ya ubin yanafanana "NGAGA"

Kama ni ndugu, Tatizo limeanzia TAMISEMI, unategemea kaka afanye madudu akemewe na dada?



 
dc.JPG


Mkuu wa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Senyi Ngaga
1.JPG


Mkurugenzi mtendaji, Halmashauri wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, Hussein Ngaga.​

Hawa watawala ni ndugu !!
Mbona majina yao ya ubin yanafanana "NGAGA"

Kama ni ndugu, Tatizo limeanzia TAMISEMI, unategemea kaka afanye madudu akemewe na dada?




hata sura wanafanana
 
Back
Top Bottom