grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Mimi nilianza maisha kwa kununua gari kwanza, lakini sasa namiliki nyumba mbili jijini, mashamba na uwekezaji juu...Mwanzo niliona hii mada haina maana lakini kwa post hii,mtoa mada umeanza kueleweka kula 100.