Habarini Wanajamvi,
Hivi yule “mwandani” na “mkaribu” haswa wa Msanii Diamond Platnumz zama zile ambaye pia alikuwa akiongoza “dancers” wake, Mozes Iyobo, yupo wapi siku hizi?
Jina la Iyobo limekufa ghafla na si kawaida, sijui kama wenzangu mumelifahamu hili.
Wakati huo ilikuwa ni nani...