Mishahara ya tutorial assistant vyuo vya umma

Samahani mkuu nikurekebishe mwenye masters ni assistant lecturer na siyo lecturer PhD holders ndo malecturers

Nisaidie:

• Lecturer ni Mhadhiri;
• Assistant Lecturer ni Mhadhiri Msaidizi, na je;
• Tutorial Assistant ni nani (kwa Kiswahili)?
 
kupitia hii post na nyingne nyingi,nimejua tu kuwa si kila jibu la JF member Ni kweli,wengi wanajibu mambo wasioyajua,mfano mtu anasema "T.A. Ni kazi inayokufanya utegemee mshahara tu" huyu ni muongo kabisa maana academicians wako free kabisa na Kama Ni mtu wa kazi nyingi uko huru kufanya shughuli zako ilmradi uwasilishe matokeo ya wanafunzi bila malalamiko,kingine mshahara wa T.A. wa kuanzia sio 1.8M,ni chini kidogo ya hapo;
 
Ndo utusaidie hiyo basic tuijue mkuu
 
Hili ni jibu nililopewa mwezi September
Screenshot_20181207-233203.jpeg
 
With bachelors degree with upper second class 3.8 onwards to first class you are employed by the university as a Tutorial Assistant but you must be registered for Masters degree. After achieving your Masters degree you will be employed as Assistant Lecturer
 
kupitia hii post na nyingne nyingi,nimejua tu kuwa si kila jibu la JF member Ni kweli,wengi wanajibu mambo wasioyajua,mfano mtu anasema "T.A. Ni kazi inayokufanya utegemee mshahara tu" huyu ni muongo kabisa maana academicians wako free kabisa na Kama Ni mtu wa kazi nyingi uko huru kufanya shughuli zako ilmradi uwasilishe matokeo ya wanafunzi bila malalamiko,kingine mshahara wa T.A. wa kuanzia sio 1.8M,ni chini kidogo ya hapo;
Punguza povu aisee! Kusema kazi inategemea mshahara sio kwamba huna uwezo wa kufanya shughuli zako binafsi ukaongeza kipato. Nilimaanisha hakuna fedha significant unayotegemea kutoka kazini tofauti na hiyo. By the way nilishawahi kuwepo kwenye cadre hiyo lakini binafsi niliona hailipi nikachomokea kwingine
 
Yan wew ndiye ambaye ungetupa uhakika kwamba baada ya makato yote, take home inabaki kiasi gani? Kwasababu wengi wetu hatuna taarifa sahihi kuhusu makato ya mshahara wa tutor. Please tell us
Sasa si ufanye tu hesabu upate estimates za take home

Ondoa PAYE,NHIF,HESLB,Mfuko wa pensheni halafu itakayobaki ndio take home.
 
Back
Top Bottom