Kisa Rais Magufuli Kufuta Sherehe za Uhuru Bavicha Wawataka Wananchi Kwenda Magerezani

Jul 10, 2017
22
33
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za Makao makuu ya Chadema, Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Patrick Ole Sosopi ametoa rai kwa wananchi kuitumia siku ya maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, Desemba 9, 2018 kuwatembelea wafungwa walioko katika magereza mbalimbali huku akipinga agizo la Rais John Magufuli la kufutwa kwa sherehe za Uhuru na fedha hizo kutumika kujengea Hospitali mkoani Dodoma.

Sosopi amewataka wananchi siku hiyo kutii sheria za magereza na kuwaeleza wafungwa na mahabusu wa makosa mbalimbali kwenye magereza hayo kuhusu hali ya maisha ilivyo uraiani akidai kuwa hakuna uhuru kama ilivyo kwa waliyoko magerezani
 

Attachments

  • bavich.JPG
    bavich.JPG
    16.7 KB · Views: 52
Ng'ombe waliyosimama huwanyea waliyo lala, ndivyo viongozi wa serikali ya sasa wanavyowafanyia wapinzani. Ila yanamwishwo.
 
Sasa hoja yako hapa ni ipi mkuu? Au hujui namna ya kuandika title?
 
Back
Top Bottom