Recent content by Aurelio_CSM

  1. A

    Zifahamu faida za barua pepe (emails)

    Napenda OneDrive kwenye windows phone, inabackup sms hadi call logs ukihamia kwenye lumia nyingi vyote vinarud kama kawa
  2. A

    msaada:njia za kujifunza programming kwa beginners

    Habarini za jioni wana jukwaa, Nimemaliza kidato cha NNE nikiwa competent katika HTML na CSS na tayari nimefanikiwa kuanzisha project zangu 2 za website. Nimeanza kujifunza java Siku chache zilizopita kwa kutumia application ya solo learn. Ninataka nisome java pamoja android apps development ili...
  3. A

    Thread maalum ya kuwatambua technologists wa Tanzania wasio na Vyeti

    Aurelio Mofuga ana miaka 18, ametengeneza website ya www.elimuyetu.co.tz na aureliochelestino.6te.net. Mwaka huu amepewa tuzo ya TAYPA na pia anamalizia kitabu kuandika kitabu chair cha kwNza. Ni wiki 2 zimepita toka ahojiwe na bbc Swahili
  4. A

    Natafuta mawakala wa chuo cha Warwick cha UK

    Habari wadau Mimi nimemaliza kidato cha NNE mwaka Jana nimefanya maombi chuo cha Warwick UK naomba kujua kama kuna mawakala wa hicho chuo humu ndani au kama uliwahi kusoma pale tujuzane mambo mbalimbali kuhusu hiki chuo. Mimi nimeomba kozi ya international foundation program ya mwaka mmoja...
  5. A

    Chuo kizuri cha private clinical medicine diploma

    Naomba msaada wa kutajiwa vyuo vizuri private Kwa kozi ya clinical medicine, itakuwa vizuri kama hicho Chuo kipo karibu na hospital ama ni university college, marks zangu ni bios-A Chemistry-A Physics-C maths-D mengine yote nina C. Asante
  6. A

    Baada ya mtumiaji wa huduma za kibenki kwenye simu kufariki, akaunti yake inaenda wapi?

    Kwa mini zisiwepo policy ambazo zitatulinda tukiwa tunatumia hii mitandao, mfano Kuna haja ya kuuliza mrithi wa account baada ya sisi kufariki ili tulindwe na pia Kwa nini wanauza Nanna zetu Kwa watu wengine bila kuturudishia hela zinazokuwepo humo, huu ni wizi
  7. A

    Baada ya mtumiaji wa huduma za kibenki kwenye simu kufariki, akaunti yake inaenda wapi?

    Naomba kujua baada ya mtumiaji wa Mpesa. Tigo pesa na huduma zingine kufariki account yake huishia wapi na je huweza kurithiwa kama wanavyofanya bank? Na Kwa nn hawaulizi mtu wa kurithi account zetu baada ya sisi kufa. Asante
  8. A

    Msaada nitawezaje kutumia free internet Kwa Ethernet port ya kwenye dstv decoder

    Nimeona hii port ya Ethernet kwenye dstv decoder mpya ya model 4s , nitawezaje kupata free internet service Kwa hii decoder yangu
  9. A

    Jinsi ya kutengeneza programming language

    Napenda kujua inakuwaje hadi programming language Inatengenezwa na je zile codes zake huwa zinawekwa sehemu yani kwenye computer na inakuwaje computer kama windows xp kuweza kuelewa latest languages kama apple swift wakati os ni muda mrefu Sana. Je ninaweza kutengeneza user defined programming...
  10. A

    Different websites and their founders

    www.elimuyetu.co.tz- Aurelio Chelestino
  11. A

    What is best.being a web developer as a carrier or developing your own web

    kwangu mimi web developing ni part ya leadership natumia ujuzi wangu kutengeneza website ambazo ni msaada kwa jamii kama elimuyetu.co.tz. nimemaliza form 4 mwaka 2015 nafurahi kuwa digital change maker
  12. A

    Msaada jinsi ya kurekebisha php code error

    habarini za saa hizi wadau, nina project yangu nimetumia php 5.5.15 na ikiwa kwenye localhost inafanya kazi vizuri, nimeiupload kwnye free hosting service kutoka hostinger, wao wanatumia php 5.5.32 kila nikiijaribu haifanyi kazi baadhi ya features na zingine zinafanya kazi vizuri na ninapata...
  13. A

    Msaada jinsi ya kupata namba zinazoanzia na 15555

    I am building the web by coding my project doesnt involve the use of cms
  14. A

    Msaada jinsi ya kupata namba zinazoanzia na 15555

    Habari za asubuhi wadau. Kuna project naifanya itahitaji kuwa na mamba hizo hapo Kwa ajili ya kutuma sms Kwa watumiaji. Ninaomba kuelekezwa ni wapi ninaweza kuzipata na vipi kuhusu programming ya hii system Nzima nitahitaji kutumia language zipi. Naomba Msaada pia kuhusiana na mambo yote ya...
  15. A

    Afrika yaanza kuja juu kitechnolojia!.... Kumekucha sasa!!

    Asante nitafanyia kazi ushauri wako
Back
Top Bottom