Chuo kizuri cha private clinical medicine diploma

Aurelio_CSM

Member
Oct 14, 2014
57
22
Naomba msaada wa kutajiwa vyuo vizuri private Kwa kozi ya clinical medicine, itakuwa vizuri kama hicho Chuo kipo karibu na hospital ama ni university college, marks zangu ni bios-A Chemistry-A Physics-C maths-D mengine yote nina C. Asante
 
Naomba msaada wa danjiwa vyuo vizuri private Kwa kozi ya clinical medicine, itakuwa vizuri kama hicho Chuo kipo karibu na hospital ama ni university college, marks zangu ni bios-A Chemistry-A Physics-C maths-D mengine yote nina C. Asante
Hongera kwa kufaulu vizuri.
Pili,vyuo vya afya vya private vipo vingi Sana. Itategemea na ww ungependa kiwe sehemu gani na uhakika wa kumudu ulipaji wa Ada.
Vyuo vya afya vya private Ada yake ni milioni mbili point something mpaka milioni tatu.
Kama unapenda kilichopo kaskazini,basi nenda MACHAME lakini usome kwa bidii. Ada yake na mambo mengine haipingui Milioni tatu
 
nishaurin nisomee laboratory attendat au nn na je ni nzur hyo au vp??? na jee maana yake nn??
 
Pamoja na chuo utakachokipenda, kumbuka maombi yote yanapitia nacte, hakuna utaratibu wa chuo kupokea maombi ya udahili.
 
We hujaelewa nimesema njoo MVUMI ukutane na dk Suzy
Duh, kazi kweli kweli, unasema hivyo kwa kuwa "mganga hajigangi" et? sorry mimi ni daktari tayari na sasa na sina mpango wa kwenda kusoma tena zaidi ya kuacha kazi na kujiajiri. Hata ingekuwa kusoma Mvumi si level yangu-au siku hizi wanatoa masters hapo Mvumi?
 
Naomba msaada wa kutajiwa vyuo vizuri private Kwa kozi ya clinical medicine, itakuwa vizuri kama hicho Chuo kipo karibu na hospital ama ni university college, marks zangu ni bios-A Chemistry-A Physics-C maths-D mengine yote nina C. Asante
Nenda muhimbili dogo
 
Jaman me naulizia chuo gan kwa wakat huu kinapokea wanafunzi clinical officer
 
Back
Top Bottom