Recent content by Augustn

  1. Augustn

    Kilimo cha alizeti na biashara ya mafuta

    Ya kilimo cha alizeti na mafuta ya kula kwa ujumla
  2. Augustn

    Kilimo cha alizeti na biashara ya mafuta

    Wadau kama kunamtu anaweza andaa bussinesa proposal ambayo Technically na financily representable tuchekiane tufanye kazi. Kazi inamalipo aise.
  3. Augustn

    Nisaidieni nataka ku-apply tender hii

    emu tusaidiane apo nataka kuapply iyo tender apo.
  4. Augustn

    Binti Kamba: Mwasisi wa TANU aliyepo kwenye nembo ya Uhuru na Umoja

    Nahitaji kuonana na huyu bibi angu aise. Naombe unielekeze ilala bungoni maeneo gani aise
  5. Augustn

    Msaada: Jinsi ya kutengeneza program ya kufanya yafuatayo

    Hivi kuna mtu anaweza tengeneza program ambayo italeta interphase ya kuchagua option ya kufanya. Either program inaeza kua na option 3 kama vile 1. Kukonvert miles to km 2. Centgrade to Fahrenheit 3. Km/hr to m/s
  6. Augustn

    HESLB: Rufaa mbona kimya?

    Dar hesbl mikopo walisema mikopo mwisho leo naona bado
  7. Augustn

    Hivi ni kweli wayahudi wanaitawala dunia? Kweli ama si kweli toa sababu zako..

    Hiyo habari yako inaukweli aise ngoja nifuatilie
  8. Augustn

    Opinion: Dr. Shika Ana Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Protection of His Right to Privacy!.

    Yaani Dr. Shika ni bilionea urusi tunabalozi wetu uko urusi ila hawatambui mbaya zaidi anakuja mtu kutoka ulaya alie pelekwa kwa ela ya watanzania kusoma kipindi icho hii Tiss yetu haijui kitu kama icho aise tiss kazi zao nini hapo maeneo?? Kitendo cha Dr.Luis kuja bongo bila serkali kutambua au...
  9. Augustn

    Askari wa miguu wa burma (the burma infantry) 1942

    Nafikiri hata hii inaeleza vizuri kwanini akina black mamba kwanini hawakupewa uongozi we juu sana kwanye jeshi la tz . Mbali na juhudi za skykes lkn bado hakuthaminiwa kwa mchango wake jeshin huko burma.
  10. Augustn

    Je kuna mkopo awamu ya tatu? Na inatoka lini?

    Nasikia eti batch 3 tayari imetoka eti kuna jamaa mmoja nipo nae hapa dit anasema tayari eti wanatoa kama kuna mtu analink ya hayo majina atuwekee hapa basi aise.
  11. Augustn

    Serikali ipige marufuku kusambaza baadhi ya kauli za Rais

    Ivi raisi nae vip alisemaje kuhusu bwire meya wa mwanza kwa aliefuatilia
  12. Augustn

    Farsafa ya urusi kuhusu kutotegemea Marekani na Eu

    Sijaelewa hapo wanaeza amua wasinunue au wasizalishe wakati kudhalisha hutegemea mahitaji ya jamii
  13. Augustn

    Kwa wale wa admission uko DIT mnafanyaaje aise

    Other sponsors other thaan loan board
Back
Top Bottom