Recent content by ateli2

  1. A

    Kuna tofauti kati ya VISA na Pasport?

    OK ni hivi Passport ni kijitabu kidogo kinachokutambulisha wewe ni nani na picha yako itakuwepo umezaliwa wap mwaka gani na kadhalika na hiko kijitabu aka passport unaenda wizara ya mambo ya ndani kuomba ya nchini mwako! Sasa Visa ni muhuri utagongwa kwenye passport yako kukuruhusu kuingia nchi...
  2. A

    Employment in Abu Dhabi UAE

    Bora uibiwe kuliko kufika huko ukakuta hamna cha kampuni wala ajira ni human traficking kwenda mbele! Utanyanganywa passport na kila kitu uanze kufanywa mtumwa wa ngono 😁😁😁😔
  3. A

    Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

    Aliosema kuwa ukiwa ccm ni kuunga mkono mafisadi ni nani?? Kama ni hivo mbona mnachukia ufisadi lakini magufuli mumemkubali! Akili zingine bwana
  4. A

    Sijaelewa, lengo ni nini hapa!

    Wapi hapo 😂😂😂 hahahaha VIP construction I think
  5. A

    Hivi ni sahihi kwa mpenzi wangu kuniita mume wake?

    Tangaza nia mkuu! Chukua fomu Hahahaha
  6. A

    Mange Kimambi awavaa January Makamba na Ridhiwani, Ajiunga rasmi 'Team Lowassa'

    Sawa lakini hawa ccm dot com wana take advantage ya team hizi kuwafunga midomo wananchi!! Mfano mzuri mss tz fake bila watu kushikamana si angecheat kiulauni maana umoja ni nguvu mpaka ushaidi ukapatakini haya likaja scandal ya epa mara escrow na mengine mengi wanaogopa yatajitokeza!
  7. A

    Nataka kununua simu aina ya apple

    Nenda mlimani city office za apple ujipatie sim ya iphone 5 ni nzuri au kama budget ni kubwa hata 6 ila kule ndio kuna original
  8. A

    Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

    Post tangazo badala ya kutisha watu Mil 3 kwa watu nane na vinywaji vya thamani ya mil 1 plus vvip table narudia watu 8 eight pax
  9. A

    Show ya Diamond kufuru tupu, Kiingilio Million tatu

    Sioni cha ajabu hapo maana hizo mil : ni kwa watu 8 tena vip table na vinywaji bure fanya mahesabu msiogope! karibuni! Ila ki promi kama diamond kabania matangazo au kuna kamgomo flani amazing! Wake up diamond clouds 99.1 east africa radio sijaskia au nimepitwa!
  10. A

    Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    By the way kampuni gani hiyo haitoi medical insurance kwa wanafamilia!
  11. A

    Harusi ipo palepale ila nabadilisha bibi harusi

    Mpe muda endelea kumchunguza ila si kumwacha yawezekana malezi aliyopata ni tofauti maana na yeye anaweza kuwa anajua umetaka pesa zake kisa mchumba! Tusichunguzane kupitia pesa kwani vigezo vilivyofanya umpende sidhani kama ni pesa! Sofeza mbele tarehe huku ukimchunguza!
  12. A

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    Katika wanaume 10 mfano wanawake wawili wanakuwa shared! Kwa maths hapo wanaoongoza ni wanaume! Wanawake wanaongoza kwa kufake relationship na kuvumiliamo ila men anashindwa kufake anachepuka mwisho wa siku wanajikuta men 10 wanawake 2 au 3 hapo chacha!
  13. A

    Tanzia: Mfanyabiashara wa madini na mpenzi wa Lulu afariki dunia

    I mean Mungu Ampe nguvu mke wa marehemu Nguzu na uvumilivu! It so sad! 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏How some people misuse God's words kwenye mambo ya uovu kama hii mesej ya husna! Ila leo...
Back
Top Bottom