Nakumbuka kipindi Kuna kesi kati ya TAG na EAGT, jaji aliyepelekewa kesi alipofungua kinywa kuanza kusikiliza kesi alisema"Kwa kuwa watu hawa wanahubiri amani lakini wao wameshindwa kuitunza hiyo amani hivyo basi wamekuja kwetu tuwaamue".
Hii migogoro ni aibu kwa watu wanojinasibisha ni wafuasi...
Mbona mnahangaika Sana? si tusubiri November,uchaguzi wa 2016 mmesahau? tangu lini huyo jenerali aliwahi kumuunga mkono Trump Mara hii mmesahau akina Bush na viongozi (baadhi) wa republican kutomuunga mkono 2016?what happened?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mnarudia tena kupiga ramli Kama 2016, sasa hivi kama hujui Trump amejipanga zaidi Kuliko 2016. Nimekuwa nikifuatilia timu yake ya kampeni nadhani mwezi wa 11 itakuwa ni massacre kwa Biden na ambavyo hawezi kuunganisha sentensi yatatokea mauaji Kwenye midahalo yao.
Sent using Jamii Forums...
Umeisikia Obamagate yaani subiri moto uwake zile fake news media zote wanaenda kuumbuka Obama naye amepanic ana mambo ya kiswahili sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.