Coronavirus bad karma for one term Donald Trump presidency

Coronavirus bad karma for one term Donald Trump presidency

Mimi ni team Trump sawa, na wewe ni team ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua upumbavu wako ni kuwa husomi mambo kwa uangalifu; mimi nilipoweka picha ya hao magenerali wawili wewe ukakurupuka kuwa "Mbona mnahangaika Sana " yaani umeshajenga kundi yaani team, Angalau ungekuwa na akili ungeuliza kwa picha hiyo ina maana gani, na ni kweli kabisa ningekujibu kuwa Trump alipokwenda Texas kuongea na wakuu wa polisi aliwaacha wale wakuu ambao ni weusi akaongea na weupe tu. Kuna kitu fulani akilini mwake kuhusu watu weusi; alianza kwa Obama kuwa rais. Atakwendaje Dallas kuongea na mapolisi halafu akamwacha huyu mama ambaye ni 4-star Chief wa polisi wote wa Dallas

1592028017156.png

au kumwacha huyu sherrif wa county ya dallas ambaye pia ni 4-star kama siyo kwa sababu ni hao ni weusi

1592028798407.png
 
Unajua upumbavu wako ni kuwa husomai mambo kwa uangalifu; mimi nilipoweka picha ya hao magenerali wawili wewe ukakurupuka kuwa "Mbona mnahangaika Sana " yaani umeshajenga kundi yaani team, Angalu ungekuwa na akili ungeuliza kwa picha hiyo ina maana gani, na ni kweli kabisa ningekujibu kuwa Trump alipokwenda Texas kuongea na wakuu wa polisi aliwaacha wale wakuu ambo ni weusi akaongea na weupe tu. Kuna kitu fulani akilini mwake kuhusu watu weusi; alianza kwa Obama kuwa rais. Atakwendaje Dallas kuongea na mapolisi halafu akamwacha huyu mama ambaye ni 4-star Chief wa polisi wote wa Dallas

View attachment 1476980
au kumwacha huyu sherrif wa county ya dallas ambaye pia ni 4-star kama siyo kwa sababu ni hao ni weusi

View attachment 1476986
Nimefundishwa kuwaheshimu watu naona nikiendelea kujibizana na wewe nitapungukiwa hekima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rutashubanyuma ndogo ndogo za mitaani zinasema uchaguzi huu ni uchaguzi wa two KKK affiliated candidates. Mimi binafsi sina hamu na uchaguzi huu.
Wote wana matatizo fulani; a hard place and a rock. Lakini niko comfortable sana na Biden kuliko Trump. Biden ni msema hovyo lakini ni mtenda kweli; wakati Trump ni msema hovyo na mtenda hovyo. Tunaweza kujadiliana kwenye hiyo sentesi yangu
 
Wote wana matatizo fulani; a hard place and a rock. Lakini niko comfortable sana na Biden kuliko Trump. Biden ni msema hovyo lakini ni mtenda kweli; wakati Trump ni msema hovyo na mtenda hovyo. Tunaweza kujadiliana kwenye hiyo sentesi yangu
Of course Biden siyo Trump ila tatizo la Biden anaficha elements za kibaguzi, kisheria. Unaumbuka crime bill wakati wa Clinton? Majuzi hapa akaja na hii ya kukataa ku defund the police.

Naelewa hakuna choice zaidi ya hao wawili ila Trump hafai kwa kweli na kama ataendelea, Marekani itakosa ushawishi duniani.
 
Dr. Rice could be the veep pick as the guessing game continues..
PSX_20200627_173536.jpg
 
Back
Top Bottom