Coronavirus bad karma for one term Donald Trump presidency

Coronavirus bad karma for one term Donald Trump presidency

Mkuu ninatofautiana sana wewe kwenye ili la Dow kudondoka zaidi mwaka huu!
Sawa naheshimu mawazo yako na niko tayari kujifunza juu ya mtazamo wako umezingatia kitu gani.
Dow Jones nimeiangalia mwenendo wake wa miaka kwa zidi ya miaka 100 na kuhusianisha kilichotokea mwaka 1929 na kilichoanza kotokea mwaka 2020 .
 
Mtazamo wangu, ninaamini Dow Jones inakuwa influenced (manipulated) na big money(big boyz) ambao ndio supporters wa Trump.
Kwenye stock markets sasa hivi kuna manipulation ambayo inachangiwa na technology. Mfano, 1929 kununua/kuuza share ilikuwa inafanywa kwenye makaratasi na unapewa certificate. Process ya kununua au kuuza shares zilikuwa zinachukua muda na ku manipulate sio rahisi. Sasa mambo yamebadilika sana. Watu wanaweza ku influence up or down wanavyotaka kutoka na technology.
Halafu stock markets sasa hivi inakwenda tofauti na matajio ya wengi. Mfano ni kilichotoa mwaka 1929 kinaweza tofauti.
Baadhi ya big media wana kwambia ”The worst of sharp decline is yet to come”. Ukija kushtuka imeshapita 30,000. Halafu wakianza kuandika Dow Jones ita double ndio inaanza kuanguka.
Mimi nina amini kuna manipulation kwenye market!
 
Screenshot_20200608-011608~2.png
 
Trump akiona picha hii sijui huwa anajisikiaje; jenerali mweusi akimpa maelekezo jenerali mweupe anayesikiliza kwa makini. Trump yeye anajua kuwa watu weusi ni wa kiwango cha chini tu.
View attachment 1476869
Mbona mnahangaika Sana? si tusubiri November,uchaguzi wa 2016 mmesahau? tangu lini huyo jenerali aliwahi kumuunga mkono Trump Mara hii mmesahau akina Bush na viongozi (baadhi) wa republican kutomuunga mkono 2016?what happened?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na wewe kicheche kweli; hiyo picha inahusiana nini na uchaguzi ujao?
 
Back
Top Bottom