Urusi imeuvunja moyo wangu

Urusi imeuvunja moyo wangu

hii ina maana ili kuangamiza kikosi cha askari wa ukraine 1000 utahitaji makombora 1000
lakini ili kuangamiza kikosi cha askari 1000 wa russia utahitaji makombora mawili tu.
kitaalamu tunasema mbuzi kala Mbwa.
... nimeelewa sana hayo maelezo! Kuwa na mavifaa ya kutisha, kuonesha maparade ya kibabe ili uogopwe ni jambo moja ila kutumia brains na resources ulizo nazo ziwe chache, nyingi, au dhaifu ni jambo la muhimu zaidi. Nilivyoona Russia wanarusharusha makombora ovyo kubomoa majengo nikajua kuna walakini hapa.

Matumizi ya nguvu nyingi bila akili; unatumia makombora 1000 kuangamiza askari 1000 ratio ya 1:1 huku mwenzio akitumia kombora chache kuangamiza askari wa kutosha na mamia ya vifaa vya kijeshi at per bila kuathiri raia wema jua hutumii akili hapo.
 
Wakija warusi wa kibaigwa wanaanza oo currency ya Urusi ime perform vizuri kuzidi zote hawajui kwamba

Ana resources na mataifa yananunua kwa wingi hizo resources zake hivi sasa ili waweze kuhifadhi kabla hizo sanctions hazijaingizwa level nyingine. So it's all about gas and nothing more, na wanunuaji wanaoifanya ku perform hivi sasa ni hao hao euaropean countries wakishakuwa na reserve ya kutosha au wakipata mbadala mtauona muelekeo wa hiyo ruble

Tuendelee kuelewana

Britanicca
 
Haina haja ya kuelewa kwa haraka sababu mtu utakuwa unakariri, polepole ndo mwendo, taratiiiibu wataelewa namna gani russia inakwenda kuwa zimbabwe ya ulaya, ni ngumu kwao kuamini ila polepole wataelewa.
 
Ile column ya 64km y vifaa / magari ya jeshi na wajeshi kuelekea Kyiv kushney?

Pale kidarajani lile pigo amepigwa halikupaswa kupigwa kwa dunia ya sasa. Unavusha vifaa mtoni kama unavusha maandazi.

Russia ni hopeless

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Siyo Kama unavusha maandazi ni Kama anaswaga man'gombe.
 
Ile column ya 64km y vifaa / magari ya jeshi na wajeshi kuelekea Kyiv kushney?

Pale kidarajani lile pigo amepigwa halikupaswa kupigwa kwa dunia ya sasa. Unavusha vifaa mtoni kama unavusha maandazi.

Russia ni hopeless

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha unavusha silaha mtoni kama unavusha nini?
 
Mkuu #Mrengwa wa Kulia Thanks very much for the good and critical analysis. Zaidi nashukuru kwa kurudia huu kauli "Mbuzi kula Mbwa"

Pia napenda kumsalimia mkuu mwingine #Permanides kwa kutuletea Jina jipya "Mr. Uncle"

Jf siami

nakufatilia sana mkuu. tupo pamoja mzaz
 
... nimeelewa sana hayo maelezo! Kuwa na mavifaa ya kutisha, kuonesha maparade ya kibabe ili uogopwe ni jambo moja ila kutumia brains na resources ulizo nazo ziwe chache, nyingi, au dhaifu ni jambo la muhimu zaidi. Nilivyoona Russia wanarusharusha makombora ovyo kubomoa majengo nikajua kuna walakini hapa.

Matumizi ya nguvu nyingi bila akili; unatumia makombora 1000 kuangamiza askari 1000 ratio ya 1:1 huku mwenzio akitumia kombora chache kuangamiza askari wa kutosha na mamia ya vifaa vya kijeshi at per bila kuathiri raia wema jua hutumii akili hapo.

russia anatuhuzinisha sana kwa kweli i hope hasira zote zitahamishiwa kiwanda cha chuma
 
Kuna silaha nyingi za US na NATO hazijaanza tumika maana kuna wanajeshi wa Ukraine wako Training, wako kama 1000 hivi, wakitoka huko wanakuja fundisha wenzao ambao wataongezeka kuvuka Milioni 1
Hahahahahahaha

Hizi ni habar mbaya saana mtaa wa pili, wamekuwa kimya saana, hiko kifurushi kipya kitaondoka na crimea.
 
... nimeelewa sana hayo maelezo! Kuwa na mavifaa ya kutisha, kuonesha maparade ya kibabe ili uogopwe ni jambo moja ila kutumia brains na resources ulizo nazo ziwe chache, nyingi, au dhaifu ni jambo la muhimu zaidi. Nilivyoona Russia wanarusharusha makombora ovyo kubomoa majengo nikajua kuna walakini hapa.

Matumizi ya nguvu nyingi bila akili; unatumia makombora 1000 kuangamiza askari 1000 ratio ya 1:1 huku mwenzio akitumia kombora chache kuangamiza askari wa kutosha na mamia ya vifaa vya kijeshi at per bila kuathiri raia wema jua hutumii akili hapo.
Vita vya ndugu ni ngumu sana, Wanajeshi wa Russia hawawezi kupigana huko Ukraine Kwa moyo mkunjufu wanajua wanawaumiza ndugu zao, hatari zaidi ni wanapoteka miji wanajikuta wanaukiwa na wanajeshi wa Ukraine waliovalia kiraia ni vita ngumu Kwa Russia
 
Back
Top Bottom