Sababu Kumi za Trump kushinda( Maoni yangu)

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,712
5,033
1. Trump alifanikisha kuujenga uchumi wa US katika viwango vikubwa vya kihistoria zaidi ya watangulizi wake kabla ya kuja kuharibiwa na Covid-19, hivyo ni mtu sahihi machoni kwa wengi kuurekebisha uchumi huo.

2. Trump amewapiga pini wajeuri wengi wa dunia, kuanzia alipotupilia mbali mkataba na Iran , kuwapa pressure member wa NATO wachangie zaidi, kuwawekea vikwazo vikali china waliokuwa wakivuna kwa teknolojia ya US , kujitoa kwenye mkataba wa Paris ambao ulikuwa unamnyonya zaidi US, kumtuliza kiduku pamoja na kuwa Rais wa 1 kudhuru N.KOREA akiwa madarakani.

3. Sera za ajabu za mpinzani wake Joe Biden, Joe ana sera ya kuachana na matumizi ya mafuta na kuhamia kwenye clean energy, jambo ambalo litaathiri mamilioni ya kazi Wamarekani (hasa wa jimbo la Pennsylvania), pamoja na makampuni makubwa ya mafuta Duniani.

4. Democrats kuunga mkono B.L.M movement na vurugu zake , huku wakiendelea kusisitiza Lockdowns (Unafki wa Kiwango cha SGR)) wakati uchumi unaharibika bila kusahau Speaker Pelosi Kuchelewesha Stimulus cheques makusudi.

haya ni mambo yaliowagusa watu moja kwa moja kiuchumi na kijamii na hawana sehemu ya kuonyesha ghadhabu zaidi ya kwenye Kura.

5. Kumtafuta mchawi Trump na kumkosa, sote tunafahamu ni namna gani Trump aliwindwa na kashfa ya kusaidiwa na Russia kwenye uchaguzi wa mwaka 2016, lakini mwisho wa siku hakuna ushahidi usiokuwa na shaka uliopatikana na matokeo yake akaonekana hana hatia, hii imegeuka kuwa advantage ya kisiasa kwa Trump.

6. Scandal ya Laptop ya Hunter Biden, Huyu dogo uzembe alioufanya unaenda kumcost mzee wake baada ya siri kuvuja namna alikuwa anapata pesa kutoka makampuni mbalimbali ya kimataifa akitumia ushawishi wa Baba yake ambaye alikuwa Makamo wa Rais, hii skendo inamchafua Baba yake sababu na yeye anatajwa kama mnufaika , inatukumbusha zile emails za Hilary Clinton na namna zilivyomuathiri kwenye Uchaguzi.

7. Historia ya Joe Biden, Huyu mgombea amekuwa kwenye siasa za US kwa miaka 47 , mambo mengi anayoyasema sahizi unashindwa kujiuliza kwanini hakuhakikisha yanafanyika katika miaka 47, hapo katika hiyo miaka alishafikia cheo cha makamo wa Rais hivyo kuonekana hana jambo jipya.

Mwaka 1987 Joe alitoka kwenye hatua za awali za kugombea Uraisi kutokana na kashfa ya kusema uongo na kashfa nyinginezo, hivyo wamarekani wengi wanaokumbuka nyakati hizo hawaoni sababu za kumuamini nyakati hizi pia ikumbukwe mwaka 1994 alikuwa mstari wa mbele kupitisha sheria ambayo ilipelekea maelfu kwa maelfu ya watu weusi na minorities wengine kufungwa jela kwa makosa madogo madogo.

8. Udhaifu wa Combination ya Joe na Kamala.

Joe anaonekana ni dhaifu kama vile huku kwetu Tz Lowassa alivyokuwa akionekana mwaka 2015, mara kibao tuu anasahau anaomba kura za Uraisi anaomba za kuwa senator, kuna muda anachanganya mambo katika maongezi hadi unashindwa kuelewa wameruhusu vipi akawa mgombea wa Democrats plus ana kila dalili za kuzidiwa na uzee au ugonjwa dementia, Upande wa pili Trump anapiga kazi mwanzo mwisho licha ya kupata Covid-19 hivi majuzi ,wengi wanamuona ni mtu sahihi wa kuongoza taifa la wachapakazi la US.

Wakati huo huo mgombea mwenza wa Biden, Bibie Kamala haonekani kama mtu sahihi wa kuwa No. 2, haaminiki kwa kuwa mengi anayotetea wakati huu aliyapinga kwenye hatua za awali za kumpata mgombea wa Democrats.

kwa hali ya afya ya Joe , huyu Bibie ndiye atakuwa Raisi endapo likitokea la kutokea endapo Joe Biden atashinda Uraisi. Mgombea mwenza wa Trump , Mr. Mike Pence anaonekana kuwa mtu sahihi wa kuwa No:2 kwenye taifa la Marekani ukimlinganisha na Kamala.

Hivyo Combination ya Trump-Pence kuonekana ni nzuri zaidi ya Biden-Harris

9. Nguvu ya Silent Majority.

Wapiga kura wengi wa Donald Trump sio watu wanaopenda kujionyesha waziwazi , tofauti kabisa na wapiga kura wa Democrats ambao huwa huru kuexpress maoni yao bila hofu ya kupata backlash kwa mtu au kikundi cha watu.

Lakini mwisho wa siku wapiga kura (Conservatives) hutoa ya moyoni kwenye kura zao ndio maana Trump alikuwa nyuma katika polls kibao mwaka 2016, hata 2020 karibia kila poll amepitwa ila mwisho wa siku kwenye Kura kila mtu na siri yake hapo ndipo utaijua nguvu ya silent Majority.

10. Trump amekuwa endorsed na Viongozi wa Jamii ya watu wenye nguvu zaidi Duniani.

Sio wengine bali ni wayahudi, hawa ndio wamiliki wa makampuni makubwa sana Duniani, wana ushawishi wa wazi na wa siri pande zote duniani , hivyo kitendo cha jamii hii kumuendorse Donald Trump nashawishika kuamini ni rahisi sana Trump kuongoza kwa miaka minne zaidi.

Ikumbukwe kuwa Trump aliitambua Jerusalem kuwa ni ya Wayahudi na akatoa maelekezo ubalozi wa Us ujengwe huko, alitupilia mbali mapatano na Iran ambayo kwa namna moja au nyingine yaliimarisha Iran dhidi ya Israel pia amehakikisha mataifa ya kiarabu makubwa na madogo yanaingia katika makubalio ya amani ya kihistoria na Israel.

Upande wa pili Joe anataka aongeze makato ya makampuni makubwa Duniani kitendo kinachogusa jamii ya wayahudi moja kwa moja hivyo kupoteza kabisa support yao
 
Mbona inaonekama kama haujiamini na unajaribu kama kujieleza na kujitetea, Sema kwa kujiamini, kwamba D.Trump atashinda, ...
 
Wataalam wanao shughulika na ulinzi wa mitandao yao USA,wametabiri kuna uwezekano mkubwa USA,IRAN,North Korea na China wata-hack mifumo yao itakayo kuwa inasimamia uchaguzi.

Kwa hapo sito shangaa US wakizima internet.
 
Kuna kitu umekiacha kwamba Biden na shoga yake Obamacare ni wapenda ushoga,abortion na wasioipenda dini ya ukristo.. Lakini uchafu walioufanya Trump amekuja aufute mpaka uishe.Kwa hio Trump hajamaliza kusudi lake na mpaka liishe.
Labda nimseme kidogo ubama,,, kwamba mtoto wake wa Kwanza kampata na miaka 33 Lakini kwa njia inaitwa IVF kwamba hakuwa na uwezo wa kumpanda mke wake akammiminia mbegu kwa kutumia mb.oo yake.
Ndio maana yule mama Michele kakaa Whitehouse kakongoroka na uso wake haukuwa mlaini.Na usikute labda hata Biden alishampakua Obamacare.. Trump mke wake pamoja na kiburi chake bado anang'aa kwa sababu sidhani Kama atapitisha siku tatu bila kutunza ndoa... Trump ndie anawajulia waliberali ambao ni wanafki kupitiliza.
Ashinde tumpongeze...
 
Haujui kusoma

1603828097029.png
 
1. Trump alifanikisha kuujenga uchumi wa US katika viwango vikubwa vya kihistoria zaidi ya watangulizi wake kabla ya kuja kuharibiwa na Covid-19, hivyo ni mtu sahihi machoni kwa wengi kuurekebisha uchumi huo.

2. Trump amewapiga pini wajeuri wengi wa dunia, kuanzia alipotupilia mbali mkataba na Iran , kuwapa pressure member wa NATO wachangie zaidi, kuwawekea vikwazo vikali china waliokuwa wakivuna kwa teknolojia ya US , kujitoa kwenye mkataba wa Paris ambao ulikuwa unamnyonya zaidi US, kumtuliza kiduku pamoja na kuwa Rais wa 1 kudhuru N.KOREA akiwa madarakani.

3. Sera za ajabu za mpinzani wake Joe Biden, Joe ana sera ya kuachana na matumizi ya mafuta na kuhamia kwenye clean energy, jambo ambalo litaathiri mamilioni ya kazi Wamarekani (hasa wa jimbo la Pennsylvania), pamoja na makampuni makubwa ya mafuta Duniani.

4. Democrats kuunga mkono B.L.M movement na vurugu zake , huku wakiendelea kusisitiza Lockdowns (Unafki wa Kiwango cha SGR)) wakati uchumi unaharibika bila kusahau Speaker Pelosi Kuchelewesha Stimulus cheques makusudi.

haya ni mambo yaliowagusa watu moja kwa moja kiuchumi na kijamii na hawana sehemu ya kuonyesha ghadhabu zaidi ya kwenye Kura.

5. Kumtafuta mchawi Trump na kumkosa, sote tunafahamu ni namna gani Trump aliwindwa na kashfa ya kusaidiwa na Russia kwenye uchaguzi wa mwaka 2016, lakini mwisho wa siku hakuna ushahidi usiokuwa na shaka uliopatikana na matokeo yake akaonekana hana hatia, hii imegeuka kuwa advantage ya kisiasa kwa Trump.

6. Scandal ya Laptop ya Hunter Biden, Huyu dogo uzembe alioufanya unaenda kumcost mzee wake baada ya siri kuvuja namna alikuwa anapata pesa kutoka makampuni mbalimbali ya kimataifa akitumia ushawishi wa Baba yake ambaye alikuwa Makamo wa Rais, hii skendo inamchafua Baba yake sababu na yeye anatajwa kama mnufaika , inatukumbusha zile emails za Hilary Clinton na namna zilivyomuathiri kwenye Uchaguzi.

7. Historia ya Joe Biden, Huyu mgombea amekuwa kwenye siasa za US kwa miaka 47 , mambo mengi anayoyasema sahizi unashindwa kujiuliza kwanini hakuhakikisha yanafanyika katika miaka 47, hapo katika hiyo miaka alishafikia cheo cha makamo wa Rais hivyo kuonekana hana jambo jipya.

Mwaka 1987 Joe alitoka kwenye hatua za awali za kugombea Uraisi kutokana na kashfa ya kusema uongo na kashfa nyinginezo, hivyo wamarekani wengi wanaokumbuka nyakati hizo hawaoni sababu za kumuamini nyakati hizi pia ikumbukwe mwaka 1994 alikuwa mstari wa mbele kupitisha sheria ambayo ilipelekea maelfu kwa maelfu ya watu weusi na minorities wengine kufungwa jela kwa makosa madogo madogo.

8. Udhaifu wa Combination ya Joe na Kamala.

Joe anaonekana ni dhaifu kama vile huku kwetu Tz Lowassa alivyokuwa akionekana mwaka 2015, mara kibao tuu anasahau anaomba kura za Uraisi anaomba za kuwa senator, kuna muda anachanganya mambo katika maongezi hadi unashindwa kuelewa wameruhusu vipi akawa mgombea wa Democrats plus ana kila dalili za kuzidiwa na uzee au ugonjwa dementia, Upande wa pili Trump anapiga kazi mwanzo mwisho licha ya kupata Covid-19 hivi majuzi ,wengi wanamuona ni mtu sahihi wa kuongoza taifa la wachapakazi la US.

Wakati huo huo mgombea mwenza wa Biden, Bibie Kamala haonekani kama mtu sahihi wa kuwa No. 2, haaminiki kwa kuwa mengi anayotetea wakati huu aliyapinga kwenye hatua za awali za kumpata mgombea wa Democrats.

kwa hali ya afya ya Joe , huyu Bibie ndiye atakuwa Raisi endapo likitokea la kutokea endapo Joe Biden atashinda Uraisi. Mgombea mwenza wa Trump , Mr. Mike Pence anaonekana kuwa mtu sahihi wa kuwa No:2 kwenye taifa la Marekani ukimlinganisha na Kamala.

Hivyo Combination ya Trump-Pence kuonekana ni nzuri zaidi ya Biden-Harris

9. Nguvu ya Silent Majority.

Wapiga kura wengi wa Donald Trump sio watu wanaopenda kujionyesha waziwazi , tofauti kabisa na wapiga kura wa Democrats ambao huwa huru kuexpress maoni yao bila hofu ya kupata backlash kwa mtu au kikundi cha watu.

Lakini mwisho wa siku wapiga kura (Conservatives) hutoa ya moyoni kwenye kura zao ndio maana Trump alikuwa nyuma katika polls kibao mwaka 2016, hata 2020 karibia kila poll amepitwa ila mwisho wa siku kwenye Kura kila mtu na siri yake hapo ndipo utaijua nguvu ya silent Majority.

10. Trump amekuwa endorsed na Viongozi wa Jamii ya watu wenye nguvu zaidi Duniani.

Sio wengine bali ni wayahudi, hawa ndio wamiliki wa makampuni makubwa sana Duniani, wana ushawishi wa wazi na wa siri pande zote duniani , hivyo kitendo cha jamii hii kumuendorse Donald Trump nashawishika kuamini ni rahisi sana Trump kuongoza kwa miaka minne zaidi.

Ikumbukwe kuwa Trump aliitambua Jerusalem kuwa ni ya Wayahudi na akatoa maelekezo ubalozi wa Us ujengwe huko, alitupilia mbali mapatano na Iran ambayo kwa namna moja au nyingine yaliimarisha Iran dhidi ya Israel pia amehakikisha mataifa ya kiarabu makubwa na madogo yanaingia katika makubalio ya amani ya kihistoria na Israel.

Upande wa pili Joe anataka aongeze makato ya makampuni makubwa Duniani kitendo kinachogusa jamii ya wayahudi moja kwa moja hivyo kupoteza kabisa support yao

Utopolo
 
Mambo ya Marekani hayakuhusu sana , jikite nyumbani kwako hapa bongo leo.

Marekani kura zinapigwa kwa karatasi na zinatangazwa hapo hapo kituoni,achana na hizo story za vilaza wenye akili kisoda.
Wataalam wanao shughulika na ulinzi wa mitandao yao USA,wametabiri kuna uwezekano mkubwa USA,IRAN,North Korea na China wata-hack mifumo yao itakayo kuwa inasimamia uchaguzi.

Kwa hapo sito shangaa US wakizima internet.
 
Marekani kura zinapigwa kwa karatasi na zinatangazwa hapo hapo kituoni,achana na hizo story za vilaza wenye akili kisoda.
Uchunguzi uliofanywa na Microsoft nenda kasome.
Source; BBC.
Iran,China,North Korea na Russia Mahacker wao wapo standby kusubiria siku ya uchaguzi wa USA 2020 wafanye yao.
 
Back
Top Bottom