mkuu kama umetumia dawa yoyote na bado hali iko vile vilee jaribu kutumiaa dawa hizi mana nilishawahi kupigwa na fangasi nikazitumia zikaleta manaikio makubwa…. Cha kwanza tumiaa dawa ya allergy - citrizin( dawa hii itakuondolea kama kuna muwasho )
Pili.. tumia dawa inaitwa Fluu… dose ni siku...
Nasikia wagonjwa wa Figo wameongezeka, hasa Vijana sasa hivi ni kutokana na utumiaji wa Pombe na ulaji mwingi wa Wanga !! Tumieni maji…. Kusafisha Figo kwa Wiki mara tatu, Bill ni @300,000+
Okay kuna Mizizi flani hivi ukitumia ina matokeo mazuri, hata kwa wale wasio ruhusiwa kula baadhi ya vyakula ila akitumia hiyo dozi imeleta matokeo chanya kabisa… Tumebarikiwa Miti tuitumie… ntakutajia jina ila hapa nalijua jina la huo mti kwakilugha ndo natafuta kiswahili chake
Wazo zuri lakin zingatiaa kila baada ya miezi mitatu unawapatia vidonge vya minyoo vinauzwa Tsh 1000/= na Hakikisha wanakunywa maji safi kama unataka wapate afya njema kwa haraka zaidi, jitahidi kuwapatia mashudu ya alizeti pia, kila la kheri
Ila kwa mimi ngombe 20 ni wengi mno mimi ningefuga...
Jitahidi, kufanya Biashara shirikiana na BodaBoda … wape offer ukileta mteja unachukua 2000… uone kama hautajaza hapo na kama ipo ndani ndani sana wakadrie kwa kuwapa 5000 mbona itajaa kila siku hiyo Lodge mpya… All the Best na Hongera sana Mkuu
Asubuhi sana, Business Consultant.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.