Wachezaji wa Angola kuzawadiwa Million 20 wakiifunga Nigeria

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Angola wamepewa simu [ Iphone 15 ] na kampuni ya UNITEL hii ni baada ya kufanikiwa kuingia Robo Fainali.

Aidha Angolan Bank pia imetoa dola 6,000
kwa kila mchezaji kwa kufika hatua hii ya Robo Fainali.

Kama haitoshi Angolan bank, imetoa ahadi ya dola $9,600 sawa na millioni 20+ za kitanzania kwa kila mchezaji kama wataifunga Nigeria na kufuzu Nusu Fainali.

Mbali na ahadi hiyo bado kampuni moja ya uchimbaji wa madini imetoa ahadi ya dolla $250,000 kwa timu kama itafika Nusu Fainali.

Credit - ShafiiDauda
 
Mamaee...
🔥🔥🔥
 
Huku kwetu sifa zingeenda kwa mtu mwingine kabisa na wachezaji wasingepata kitu wangeambiwa wawe wazalendo,yaani hadi uwa najiuliza kwanini hii nchi imeumbwa na sisi tukatupwa ndani yake.
 
Back
Top Bottom