Recent content by Asha Abdala

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wakati CHADEMA ikipiga porojo, CCM inafanya haya

    CCM mmefikia wapi katika kujivua magamba ya ufisadi? Ya serikali itajieleza serikali yenyewe lakini ili maelezo yaridhishe, tupe hapa ahadi zote za Kikwete na CCM 2010 halafu utuambie zipi zimetekelezwa zipi bado. Maisha bora kwa kila mtanzania kwa hali hii ya gharama kupanda kila kukicha yako...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Habib Mchange

    Kwa hiyo Mwanahalisi sio makini hata habari za Ulimboka na Rama walizusha! Kama hivyo ndivyo, serikali kwa nini ilihangaika? Asha
  3. A

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio Habib Mchange

    Kaka Mchange, Jibu maswali ya PM aliyokuuliza hapo juu. Halafu taja namba zote, usichague hizo chache. Asha
  4. A

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Juliana Shonza Mbona unatuabisha wenzako. Yaani unatuhumu kwamba mwezi Disemba miezi sita baadaye kuwa Zitto alitaka kuwekewa sumu na Ben mwezi Mei, miezi yote hiyo hukusema polisi wala kwenye chama mpaka Ben awaumbue ni useme. Halafu unasema kuwa aliwekwa kwa kutumwa na Dr Slaa huku...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Don't be sad, understand that truth will prevail...people's..power Asha
  6. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Christian Democratic Parties

    Acha propaganda za uongo. CHADEMA sio mwanachama wa Christian Democrat, kama hujui siasa za dunia fahamu kwamba vyama vya kundi hilo ni vya umoja unaitwa Christian Democrat International (CDI). CHADEMA ni mwanachama wa International Democrat Union inayohusisha vyama vya kidemokrasia vingine vya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

    Na huku Jang'ombe je, ni vizuri nao wakina Mariam Msabaha na Raya Ibrahim nao wakatupa taarifa zao. Asha
  8. A

    JamiiForums Tanzania PICHA: NAPE NNAUYE KIONGOZI WA CC-CCM; Kaweka mtu Mwenye Bunduki asema ni wa CHADEMA

    Huyu kweli hayawani! Hizo za propaganda zao za picha za Libya zimenikumbusha madai ya Katibu Mkuu wake Mukama kwenye uchaguzi wa Igunga kuwa CHADEMA imeleta magaidi kutoka nje ya nchi Iran, Libya nk. Halafu mahakamani mtu mzima ovyo akayakana maneno yake. Asha
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mnyika na Mkutano wa mtandao kutoa maoni juu ya SSRA na NSSF

    We Polisi, si uende huku ulipoelekezwa kwenye mkutano ukamuulize hilo swali akujibu? Ndio nyinyi mnaalikwa kutoa maoni mnakacha mikutano halafu wengine wakifanya maamuzi kwa niaba yenu mnalalamika na kupinga baadaye. Asha
  10. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ulimboka, Je Mnyika atasalimika?

    Utabiri wako unakaribia kutimia
  11. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Baraza la mawaziri la JK

    Hatimaye gazeti la Jambo Leo limefichukua kuwa JK amekubaliana na ushauri wa CHADEMA wa kufanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri Asha
  12. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Sophia Simba amedanganya bunge kumlinda Salma Kikwete

    Nimesoma kwenye mtandao wa gazeti la serikali la Habari Leo kuwa Waziri Sophia Simba amesema kuwa Salma Kikwete hakuitumia WAMA kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa 2010. Nikatafuta Salma Kikwete+WAMA+Kampeni na nikakuta ushahidi kuwa Waziri huyu amedanganya bunge. Ushahidi mmojawapo ni huu:Mama...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mnyika's refusal of talking about his private life dissapoints Clouds FM

    There you go my boy, thats why i love you. Radhia yuko wapi sasa kumtetea Diva wake na Clouds Fm? Asha
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mnyika's refusal of talking about his private life dissapoints Clouds FM

    Radhia, una lako jambo na Mnyika; kama alilialia basi hilo ndio haraka ungelisema. Ulichaondika mwenyewe ni Clouds Fm ndio ambao wamekuwa dissappointed. Kuna nini kati yenu? Asha
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mnyika's refusal of talking about his private life dissapoints Clouds FM

    Sasa hapa ana kosa gani jamani? Radhia umesema hiyo ni private life yake, sasa kama ni private kwanini iulizwe kwenye media ambayo ni public? Si ungeenda tu kumuuliza yeye mwenyewe binafsi angekujibu badala ya kumhoji kupitia Clouds Fm? Kwani ilikuwaje tukio zima na limetokeaje? Naomba...
Back
Top Bottom