Recent content by asalimbichi

  1. asalimbichi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yatangaza Ajira za Walimu

    Daa yani huyu mshikaji najuta kabisa kwanini amekuwa mkuu wa nchi
  2. asalimbichi

    JamiiForums Tanzania Panya Anayemsema Nape ni Nani?

    Hahaha nape siku hizi amekuwa muhenga kwa kutoa NB Zenye ujumbe mubashara! Siasa za taifa letu bhana
  3. asalimbichi

    JamiiForums Tanzania Lema: Bonde la uvuli wa mauti - Mkakati umepangwa nikamatwe na Jeshi la Polisi leo, maelekezo yameshatolewa

    Ccm haitatoka madarakani kwa kuondolewa na chadema bali itatoka siku wananchi wakionesha dhahiri kuwa wameichoka kwa vitendo maana upinzani nao ni wanafiki
  4. asalimbichi

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu jinsi ya kupata namba za vocha bila kununua?

    Mzee baba wakuje bhana maana vyuma vimekaza
  5. asalimbichi

    JamiiForums Tanzania UJUMBE WA JOTI: Usiogope Kula maisha Coz Maisha yana tabia ya kutula sisi

    Sawa joti kulamaisha ila ukumbuke na wazazi
  6. asalimbichi

    JamiiForums Tanzania Babu aliyemfanyia tohara dogo Janja afunguka,asema Uwoya ni size yake

    Magazeti kama haya ni yakufungia maana wamekosa cha kuandika! Watanzania wanamatatizo kibao yakuandika then with profesional wanaandika utumbo huu
  7. asalimbichi

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo kwa wakujitolea, 2017

    Habari zenu jamani hivi hii habari ipo vipi
  8. asalimbichi

    JamiiForums Tanzania Nini dawa ya mwanamke anayekutukana mara kwa mara?

    Mtukane na yeye atafeel maumivu kama yako then ataacha
  9. asalimbichi

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba: Rais Magufuli Amesema Umefika Wakati Tulime Pamba, Tutengeneze Nguo, Tuvae, Zikichoka Tuwatumie Wazungu.

    Achana uongo ndugu, toka lini ukawa mzalendo kwa taifa lisilolako! Yaani prof Lumumba awe mzalendo kwa Tanzania!! Au kisa kapewa mtaa hapa DSM!, nembu rudishule ukasome maana ya uzalendo hiyo ya ccm inakupotosha
  10. asalimbichi

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba: Rais Magufuli Amesema Umefika Wakati Tulime Pamba, Tutengeneze Nguo, Tuvae, Zikichoka Tuwatumie Wazungu.

    Wakenya wengi kiingereza kingi mdomoni lakini kichwani weupe
  11. asalimbichi

    JamiiForums Tanzania Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

    Msamaha ni kuwaomba wazazi tu hao wengine akiona umeomba msamaha atakutesa tu
Back
Top Bottom