Lema: Bonde la uvuli wa mauti - Mkakati umepangwa nikamatwe na Jeshi la Polisi leo, maelekezo yameshatolewa

Wewe ulishasema jela ni seblen sasa unalialia nn si unataka kwenda seblen kwako? Tulia dawa ipenye
 
Makamanda inabidi mumtangulize mungu kwani hayo mapambano dhidi ya shetani. Hii serikali inaongoswa na shetani.
 
Nilikua napita mahal nikasikia maneno haya ya mchungaji akihubiri

"UKIONA NCHI NI TAJIRI NA DEMOKRASIA INA PEWA NAFASI KUBWA BASI UJUE RAIS WA HIO NCHI ANA HOFU NA MUNGU, LAKINI UKIONA NCHI MASIKINI UHURU WA KIDEMOKRASIA UNAKANDAMIZWA, WATU WANAUAWA OVYO, UKITAMKA NENO HAKI UNAPIGWA RISASI NA KUTUPWA BAHARINI NA HATA KUFICHWA KUSIKOJULIKANA NA WANAOTOA RUSHWA WANAPANDISHWA VYEO BASI UJUE ANAYEIONGOZA HIO NCHI HAKUPASWA KJA HAPO NA AMELAANIWA" ....mwisho wa kunukuu
 
hizi kauli zimeanzwa kusemwa toka enzi za kina mrema wakiwa wapinzani wakuu katika nchi hii mpaka leo bado story ni zilezile tuu,ni wakati wa kureact bahati mbaya waliokuwa mstari wa mbele kureact leo ndo wanaitwa wasaliti...

Kalaghabao endeleeni kulalamika tuu,CCM haitatoki madarakani kwa kulalamika kwenu itatoka kwa nguvu. Na wenye nguvu ndio wataiteka na kuitawala hii nchi.
Nguvu zipi hizo unazoziongelea?
 
Ccm haitatoka madarakani kwa kuondolewa na chadema bali itatoka siku wananchi wakionesha dhahiri kuwa wameichoka kwa vitendo maana upinzani nao ni wanafiki
 
Awamu hii ni wakorofi sana. Kuchanganya wote wameziba machocho wanapiga kila kitu hata CCM wenzao wanapiga tu.

Ila tutaanza kuona mauaji ya wao kwa wao, kuwekeana sumu nk. Si unajua Mkulu siku hizi anapenda na yeye habari za Mjini, wapi kumtokea nini, nani ananipenda, nani hanipendi nk.

Hii inapelekea wanafiki wengi sana kumsunguka. All information kutoka kwao ni fake.
 
View attachment 625418

Neema Godbless Lema... Binti wa kwanza wa Mh Lema, mtoto huyu ni mwanafunzi wa chuo cha nursing huko Ilembula mkoani Njombe, alikataliwa na Lema toka akiwa mtoto na sasa anasomeshwa na kulelewa na mama yake huku ada ikisua sua elihali Lema unakula bata mjini... Wanaishi Moshi

Mh Lema mm nakukubali sana, napenda kazi zenu kama Chadema as whole... Ni mzaliwa wa ngulelo Arusha, nakuomba pamoja na yote embu msaidie huyu binti..
Lema analilia demokrasia wakati katelekeza mtoto
 
Kazi kulia lia tu kama watoto wadogo.
Lema amesahau alipolitangazia Taifa kuwa adui yao namba moja ni serikali ya ccm,sijui sasa analia nini
 
IMG-20171106-WA0000.jpeg
 
Father kashwagilizi kutoka muleba

Serikali ya ccm iendelee kuwabana wapinzani maana hawana hasara
 
Lema ni mmoja wa wabunge wanaoongea kwa busara sana tena. Tatizo watawala sio watu wenye maono. Wao wanaona mwisho wa matumbo yao
 
Back
Top Bottom