asalimbichi
Member
- Oct 16, 2017
- 18
- 4
Daa yani huyu mshikaji najuta kabisa kwanini amekuwa mkuu wa nchi
Mbona hakuna kitu mkuu? Au umeangalia tamisemi ipi?TAMISEMI WAMESHAWEKA
PITIENI
vipi mkuu hujabahatika kupata hii fursa.. Itakuwa wameajiri sayansi tuDaa yani huyu mshikaji najuta kabisa kwanini amekuwa mkuu wa nchi
Weka pdf basi mkuuTAMISEMI WAMESHAWEKA
PITIENI
Maana mm sijaona kituTAMISEMI WAMESHAWEKA
PITIENI
Mwenyewe siyaoni aisee wekeni pdf wakuuMaana mm sijaona kitu
Ya primary wapoNmeyapata ya sekondari kuna mtu ametuma kwenye group la whatsapp
Tafuta Na ya msingiNmeyapata ya sekondari kuna mtu ametuma kwenye group la whatsapp
Wawaajiri tuoe buana daahAisee,baada ya kimya kirefu
Bookkeeping vs commerce ndio habri ya mjini... Ila imeandika awam ya kwanza
economic na geography... Iyo si ni art jamani.. ala wajanja wamepewa ajira haha..... geo na eco neither art nor ScienceBookkeeping vs commerce ndio habri ya mjini... Ila imeandika awam ya kwanza