Recent content by ARUSHA01

  1. ARUSHA01

    JamiiForums Tanzania TARURA mkoa ARUSHA tunaomba ufafanuzi juu ya hili

    Juzi jumamosi nilkuwa nimepaki gari hospitali ya mkoa sehemu husika pale nje Wakati natoka nikakuta nimewekewa chuma na agent wa Tarura (Ngare) kwa madai gari inadondosha maji ya AC na fine ni shilingi 60,000 ,I was shocked on this, kwa ufahamu wangu nilidhani ni mafuta (diesel+oil) wao wana...
  2. ARUSHA01

    JamiiForums Tanzania Voda watoa 4G LTE

    1800
  3. ARUSHA01

    JamiiForums Tanzania duka gani ntapata RS232 cable?

    kvd posta alongside clb bilicanas
  4. ARUSHA01

    JamiiForums Tanzania Tunakwenda kuanika uovu wa Manga Manyire jumapili

    nimetaka kusema kuwa mwangalifu na kama ni kweli amefanya hivyo alivyosema hiyo cyo vizuri na mathias ni rafiki namfahamu ni hayo tu!!
  5. ARUSHA01

    JamiiForums Tanzania Tunakwenda kuanika uovu wa Manga Manyire jumapili

    manga is my friend but if he done what ua sayin thats upsurd but please be carefull !!!
  6. ARUSHA01

    JamiiForums Tanzania 4G LTE Mobile Broadband Now In Tanzania

    this is quite true and vodacom is the provider now in dar in some sites thats it
  7. ARUSHA01

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta tairi za gari

    Kwa dar hupendelea victoria Arusha napendelea Manjis Bp Bf goodrich ni poa kwa rough road
  8. ARUSHA01

    JamiiForums Tanzania viwanja A town..

    Pin point pub maliza zote
  9. ARUSHA01

    JamiiForums Tanzania Tennis 2012

    Dah nadal kashinda ths 4th set with 7,6
  10. ARUSHA01

    JamiiForums Tanzania Tennis 2012

    dah Nadal need to pul up ila anajitahid sana ku close gap now baada ya rain break djokovic noma
  11. ARUSHA01

    JamiiForums Tanzania Arusha kata ya Kaloleni yatema viwanja vya soweto kwenye Mkutano wa CHADEMA

    Wananchi walipwe stahiki zao zipi unafahamu zile nyumba zinamilikiwa na nani? Lile ni eneo la AICC na mmliki ana haki ya kufanyia chochote lile eneo acheni siasa na ushabiki tsio na tija
  12. ARUSHA01

    JamiiForums Tanzania Arusha kata ya Kaloleni yatema viwanja vya soweto kwenye Mkutano wa CHADEMA

    Siasa mbaya sana!!
  13. ARUSHA01

    JamiiForums Tanzania Yusuph Makamba yu wapi?

    mi nimemuona Arusha ths week (juma3) kwenye kikao kimoja
  14. ARUSHA01

    JamiiForums Tanzania Zitto: Sijengwi na Kikwete, najijenga mwenyewe

    Halafu kuna sub-heading eti MMOJA ANAMHARIBIA MWENZAKE kati ya Jk and Zito cjaelewa This means who is distructing who? Something big is coming 4 sure I sense! Kila EL anapogain power Zito comes out with backout picture it!
Back
Top Bottom