TARURA mkoa ARUSHA tunaomba ufafanuzi juu ya hili

ARUSHA01

Member
Jan 24, 2011
19
45
Juzi jumamosi nilkuwa nimepaki gari hospitali ya mkoa sehemu husika pale nje
Wakati natoka nikakuta nimewekewa chuma na agent wa Tarura (Ngare) kwa madai gari inadondosha maji ya AC na fine ni shilingi 60,000 ,I was shocked on this, kwa ufahamu wangu nilidhani ni mafuta (diesel+oil) wao wana claim oil ni 300,000 na maji 60,000
Baada ya kubishana kidogo tukaenda Temesa nikalipa
Nachotaka ni ufafanuzi tu je tofauti kati ya maji ya AC na maji mengine esp.mvua
Samahani kwa uandishi+kuchanganya lugha
 

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,671
2,000
Wase.nge hao. Juzi niliwawashia moto dunia haijawai kutoke.

Tairi yangu ilipata pancha, nikapiga Jeki nikawa nabadiri. Sijui walitokea wapi eti wanasema nimepiga jeki kwenye Lami Bila kuweka Kibao.

Wakachukua Gari wakapeleka Yard hapo Tamesa, Niliwawashia moto mbona walielewa nikachukua Gari yangu Bure.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom