Mtayaona mengi tu ya namna hii.... Magufuli ni binadamu tu km mimi na wewe.... amelelewa na mzazi km mzazi wako, amesoma shule ulizosoma wewe, km ulienda UD basi ulikuwa unishana na ye zile coridors za chuoni pale, naye yawezekana alishagomaga km wewe ulivyogoma, alishashika chaki akifundisha...