Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Nikiwa kama mpigania haki za mamilioni ya wanyonge tanzania ninalaani kitendo cha serikali ya magufuri kuwawajibisha wanyonge na maskini kisha kuwaacha ama kuwaonya matajiri na vigogo wa chama na serikali.
Serikali ilitoa siku 7 kwa hoteli ya flomi iliyopo morogoro iliyojengwa kwenye pipe line ya bomba la mafuta TAZAMA ibomolewe lakini leo ni siku ya 30 haijabomolewa,
Nyumba ya mbunge mstaafu wa ccm mchungaji mama rwakatale iliyocholwa X juzi ili ibomolewe leo hii imetolewa sababu kuwa nyumba hiyo haiwezi kubomolewa kwa kuwa ina makosa madogo tu
lakini kuna hotel na nyumba za kifahari kibao ambazo zilipaswa kubomolewa lakini zimeachwa na zingine zitabomolewa fence na gate tu.
lakini sio hivyo tu matajili waliokwepa kodi mabilioni ya kodi bandalini wanapewa muda wakalipe kodi kwa kuombwa bila kuchukuliwa hatua lakini maskini waliokwepa kodi za elfu 70 mpaka laki wanapelekwa kisutu na kufungiwa biashara zao this is the exploitation of government ni serikali gani ya kibaguzi hii?
haiwezekani maskini wanaokula chakula kwa kubahatisha wakabomolewa makazi yao halafu matajili wakapewa muda hakika huyu magufuri sitaondoka hapa duniani bila kumbuluza mahakamani siwezi kuona sheria zinafanya kazi kwa maskini matajiri zinawaacha nchi hii ni yetu sote kwa nini tubaguane?
tunataka kuona nyumba ya rwakatale inabomolewa tunataka kuona mahotel yanabomolewa Je ne peux pas supporter de voir la folie est effectuée par le gouvernement.
By Mdude Chadema (Facebook)