Huyu ndo Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi

Viongozi wa TZ ni very mechanical. Je, kuweka mwanajeshi ndio kuvuia ujangili?

Swali la kujiuliza, wamefanya nini kwa wale waliokuwa wanaua Tembo na kusafirisha Twiga (kwa sababu wanajulikana). Au ndio zile hadithi za kwamba "sasa tunaanza upya na ole wako tukukamate"
 
Hahahaha.... hii inafurahisha sana, kwamba unaweka mjeshi ili akamate majangili??? Kweli kabisa??? Sidhani km lilikuwa kusudio la Magufuli kumweka huyu jamaa, katibu mkuu wa wizara is bigger than kukamata majangili, CV ya ya huyu jamaa tunaihitaji ili kujiridhisha kuwa hatuka kimechanic zaidi kwenye hili!!!!
 
Mkuu Artery

Mwenyewe JPM alisema kuwa "... ili akapambane na majangili vizuri" kwa hilo lengo la huyu Katibu Mkuu Mwanajeshi ni kwenda kupambana na "majangili wanaojulikana".
 
Mbona JK mwenyewe alikuwa na cheo jeshini na watu wakapiga sana hizo mission haramu, labda kama yupo tofauti.

st: 14998561, member: 303079"]Hahahaha.... hii inafurahisha sana, kwamba una mjeshi ili akamate majangili??? Kweli kabisa??? Sidhani km lilikuwa kusudio la Magufuli kumweka huyu jamaa, katibu mkuu wa wizara is bigger than kukamata majangili, CV ya ya huyu jamaa tunaihitaji ili kujiridhisha kuwa hatuka kimechanic zaidi kwenye hili!!!![/QUOTE]
Pichani ni Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence Milanzi ambaye leo ameapishwa rasmi kuanza kupambana na majangili ambao wamekuwa kero kwa nchi hii

Kazi kwenu majangili.

CC: Abraham Kinana[/QUOTE]
Sija
 
Naelewa hiyo sentensi ya maguffuli lakini kupambana na majangili ni neno pana sana, lazima huyu jamaa atakuwa na sifa za ziada kisomi za kudeal na hiyo issue, is not that mechanical..... jus thinking.....
 
Mkuu Artery

Mwenyewe JPM alisema kuwa "... ili akapambane na majangili vizuri" kwa hilo lengo la huyu Katibu Mkuu Mwanajeshi ni kwenda kupambana na "majangili wanaojulikana".
Usichukulie mambo juu juu. Hapo alikuwa anachomekea tu. Ana mambo mengi zaidi ya kupambana na ujangili.o
 
Naelewa hiyo sentensi ya maguffuli lakini kupambana na majangili ni neno pana sana, lazima huyu jamaa atakuwa na sifa za ziada kisomi za kudeal na hiyo issue, is not that mechanical..... jus thinking.....
Aliongezea kuwa jamaa ni mtaalamu wa infantry hivyo ataenda nao sambamba,infantry nadhani ni mapambano ya ardhini.
 
Back
Top Bottom