Tumuulize jk udokta kausomea wapiHivi Mbatia alifaulu huo u-injinia?
Wote ni ma profesa na madokta wa kichina mkuuumbea umekuzidi mtoto wa kike. Unatakiwa kuleta uzi ulijitosheleza kwa facts na sio kutuuliza sie wachngiaji. Weka hyo CV na statisics analysis za hao unaosema madropout.
Na kingine ningependa kukufumbua utindio Wako wa ubongo, kwa unavyoshindanisha wenye elimu na wasiokuwa na elimu ningetarajia kusikia ukisema Tanzania ndio nchi tajiri na yenye maendeleo kuliko nchi yeyote japo kwa Africa mashariki kwa namna ccm ilivyojazwa na wasomi,maphd,Dr.Eng,wanasheria. Cha ajabu tumekuwa nchi ilyodhaifu na iliyo nyuma kimaendeleo pamoja na ccm(wasomi) kutawala kwa miaka 50 ukilinganisha na utajiri na maliasili ilyotuzunguka. Cha ajabu hao maphd,eng,Dr ndio wa kwanza kuwapandisha twiga kwenye ndege.
Ni injinia wa mambo ya majanga, alii-practice fani yake kwa mara ya kwanza wakati wa yale mafuriko yaliyoleta majanga hapa Dar. Alichokuwa anafanya ni kutembelea tu maeneo na gumboots mguuni.Hivi Mbatia alifaulu huo u-injinia?
Huyu mtu barbarosa naona ameanza kuchanganya mambo, kuwa dr si lazima uwe na PhD, Dr Godwin Mollel ni daktari wa upasuaji wa Meno wa binadamu.
Amefanya kazi kama Daktari Hosptitali ya mkoa wa Manyara, Babati kwa miaka ya kutosha, kisha akawa Mganga mkuu wa Hospitali ya Seliani mkoani Arusha kabla hajaukwaa ubunge wa Siha, alipomgaragaza aliyekuwa Naibu waziri wa Tamisemi, Mwanri.
Uwe unaleta uzi wenye akili siku zingine!!!!
Tumuulize jk udokta kausomea wapi
Kwa kuwa huna muda wa kuishughulisha akili ndio maana unasema hivyoJk yuko kwenye list aliyosoma Mbowe? Mbona unachanganya mada mkuu wangu?
No problem at all. Mbowe ataenda na zito with huge precautions like carrying a timing bomb
Wakati ule alikuwa ni personal friend wa mr. Fastjet na hivo kutumia urafiki wao kutoa siri za upinzani. Huyu wa sasahivi hana kutaka umbeya yeye anachohitaji ni kuombewa tu, na siyo kupelekewa majungu.Duh! Tuliambiwa Zitto ni Msaliti, Ayatollah, Mwami na majina mengineyo. Ile dhana ya kuvujisha siri kwa chama tawala imeisha? Hivi hatavujisha siri za Baraza la Mawaziri la UKAWA kweli?