Magufuli mpe ubunge mwanamama Dr. Frannie Léautier

Mi nafikiri apewe nafasi pale TRA.... yule aliyekaimishwa ile nafasi ya Ukamishna mkuu (km sijakosea) akishindwa huyu maza apewe hiyo nafasi... she will probably benefit our country if used properly.....
 
Bahati mbaya sana mifumo ya kisiasa ya Kiafrika haiwataki watu wa aina ya huyo mama,inawataka watu kama akina Lukuvi,Simbachawene,Mwaijage,Jaffu na wengineo wengi tu,ndio ambao wana_fit ktk ajenda za siasa za Kiafrika.
 
Prof. Ndalikacho ndo mmama ninayemkubali kuwa kweli ni professor!
 
Nilimfahamu huyu mama kweli ni kichwa alisoma Jangwani!. Nilimfahamu alipokuwa Vice Pesident wa WBI ndiye aliyeanzisha ile Tanzania Global Distance Learning Centre, TGDLC, pale IFM.

Tatizo ni lugha!, kwa sasa Kiswahili hakipandi tena!.

Pasco

Kama kiswahili hakipandi abaki tu nyuma ya pazia maana akiwa mbele atashindwa hata kuongea na maboss wake ambao kwao hii lugha ya malkia imekuwa kikwazo achilia mbali wananchi
 
Mwacheni mheshimiwa raisi afanye kazi wakuu. Uraisi ni taasisi mnatakiwa kujua. Mwacheni lols
 
Hakuna ambae sio muhimu kwa raisi. Na hayupo mtu muhimu kuliko mwingine
 
Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na MWENYEKITI wa Mkoba Private Equity fund ambayo inafanya kazi nchi mbali mbali chini ya uongozi wake.

Huyu mama kasoma kwenye chuo kinachoongoza kwa ubora duniani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) ambako kasomea degree zake zote mbili ya Master of Science in Transportation na PhD in engineering.

Huyu mama nimemsikia mwenyewe kipindi cha ITV kilichorushwa jana tarehe 11/1/ 2015 kuanzia saa 3 hadi saa tatu na nusu usiku.Huyu mama ana uwezo mkubwa wa kuwasaidia watanzania.Unaweza omba hiyo Telecast kutoka ITV umsikilize mwenyewe.Mama yuko vizuri

Hata kama hamna nafasi ya ubunge mtafutie nafasi.Wasomi wachache sana na wataalam kama huyu waweza rudi nchini kuwasaidia watanzania wenzao.

Ni mama ana shughuli zake wala hagangi njaa kwa mtu ninachokuomba mheshimiwa Raisi mbembeleze mpe nafasi hata ya ushauri wa raisi,mkurugenzi mtendaji wa taasisi za kifedha,au cheo chochote kikubwa sana kinacholingana na hadhi na uwezo wake.Inaweza kuwa vigumu yeye kukubali lakini mimi naomba na yeye akusikilize kama utamwomba

Ingekuwa baraza hujaliunda ningetaka umpe ubunge na uwaziri moja kwa moja.

CV YAKE KWA UFUPI HII HAPA

Dr. Léautier is a Tanzanian national with more than 20 years of management and operational experience from the private sector and international development institutions.

She has worked extensively in emerging markets in Asia and Latin America as well as in 49 countries in Africa. Dr. Léautier worked for World Bank in various capacities including as Director of Infrastructure, Vice President and Head of the World Bank Institute, and Chief of Staff to the President of the World Bank. After leaving the World Bank, Dr. Léautier became the Founder and Managing Partner at The Fezembat Group, a company focused on risk management and leadership development.

Most recently, she was the Executive Secretary of the African Capacity Building Foundation (ACBF) based in Harare, Zimbabwe from 2009 to 2013. Dr. Léautier has a strong track record in management, capacity building and operations with a specialty in turning around organizations to better performance, establishing and enhancing brand, and restructuring non-performing portfolios. Her expertise and experience entails leading and developing high performance teams, ensuring effective strategies for entry and delivery in a variety of sector settings and scenarios.

This experience has been gained from having restructured multiple organisations and departments while at the World Bank as well as at the ACBF. Dr. Léautier holds a Master of Science in Transportation from Massachusetts Institute of Technology (MIT) and a PhD in engineering from MIT.

Habari zake zingine hizo hapo

Meet Dr Frannie Léautier - Africa’s Queen Of Development - Ventures Africa
Mbona anaonekana atatosha NHC.
 
Kwa mfumo huu hata hao 100 hawatatosha.

Katiba itamke wazi kuwa Raisi achagulie hadi achoke mwenyewe..

Hiyo shughuli ya uteuzi alikuwa na karama nayo nanino bwana, akilala akigeuka anakumbuka aliyemsahau ananyanyua simu maana mpaka kukuche mbali
 
Nilimfahamu huyu mama kweli ni kichwa alisoma Jangwani!. Nilimfahamu alipokuwa Vice Pesident wa WBI ndiye aliyeanzisha ile Tanzania Global Distance Learning Centre, TGDLC, pale IFM.

Tatizo ni lugha!, kwa sasa Kiswahili hakipandi tena!.

Pasco
Kwa kweli ni kichwa product ya UDSM, engineering department na kama sikosei alibaki pale kufundisha. Watu kama hawa ni tunu ya nchi na inawezekana wanajulikana na kuenziwa zaidi nje ya nchi. Mh. Magufuli weka kwenye data bank yako.
 
Huyo mama atakubali kuacha kibarua chake na kuja kupiga siasa hizi za kijima?
Naona jf kumbe hata taaasisi za nje zinakuwa zinatupia jicho wakijua gt ndiko walipo. Hii kali wala si utani!
 
Niende nje kidogo ya mada.Mimi nimefanya sana kazi private sectors (kwenye vitendo).Serikalini bado wanaamini sana kwenye Masters/Phds,etc lakini mambo hayaendi kabisa.Kwenye Private sector wanaangalia (pamoja na elimu) UZOEFU.Uzoefu ni kitu muhimu sana yaani sana.Huko vitu vinaenda siyo haya mambo ya mimi sijui nina masters ya nini and you don't deliver.Sipingi kusoma lakini..........
 
Kweli watanzania tulio wengi ni wajinga.
Hatujui thamani ya raslimali zetu...huyu mama ni hazina ya taifa.
Tunawang'ang'ania akina Muhongo na Ngulu kumbe ni wapigaji tu.
 
Wazo hili linaweza kuwa lilikuwa la maana, lakini kwa vile limetoka wa YEHODAYA kila mtu amelipuuza kwa muda wa karibu mwaka mzima. Ndio shida ya kupenda kuleta pumba JF, siku ukibahatika kuja na hoja ya msingi watu wanakupuuza kwa kudhani ni yaleyale mapumba yako.
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na MWENYEKITI wa Mkoba Private Equity fund ambayo inafanya kazi nchi mbali mbali chini ya uongozi wake.

Huyu mama kasoma kwenye chuo kinachoongoza kwa ubora duniani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) ambako kasomea degree zake zote mbili ya Master of Science in Transportation na PhD in engineering.

Huyu mama nimemsikia mwenyewe kipindi cha ITV kilichorushwa jana tarehe 11/1/ 2015 kuanzia saa 3 hadi saa tatu na nusu usiku.Huyu mama ana uwezo mkubwa wa kuwasaidia watanzania.Unaweza omba hiyo Telecast kutoka ITV umsikilize mwenyewe.Mama yuko vizuri

Hata kama hamna nafasi ya ubunge mtafutie nafasi.Wasomi wachache sana na wataalam kama huyu waweza rudi nchini kuwasaidia watanzania wenzao.

Ni mama ana shughuli zake wala hagangi njaa kwa mtu ninachokuomba mheshimiwa Raisi mbembeleze mpe nafasi hata ya ushauri wa raisi,mkurugenzi mtendaji wa taasisi za kifedha,au cheo chochote kikubwa sana kinacholingana na hadhi na uwezo wake.Inaweza kuwa vigumu yeye kukubali lakini mimi naomba na yeye akusikilize kama utamwomba

Ingekuwa baraza hujaliunda ningetaka umpe ubunge na uwaziri moja kwa moja.

CV YAKE KWA UFUPI HII HAPA

Dr. Léautier is a Tanzanian national with more than 20 years of management and operational experience from the private sector and international development institutions.

She has worked extensively in emerging markets in Asia and Latin America as well as in 49 countries in Africa. Dr. Léautier worked for World Bank in various capacities including as Director of Infrastructure, Vice President and Head of the World Bank Institute, and Chief of Staff to the President of the World Bank. After leaving the World Bank, Dr. Léautier became the Founder and Managing Partner at The Fezembat Group, a company focused on risk management and leadership development.

Most recently, she was the Executive Secretary of the African Capacity Building Foundation (ACBF) based in Harare, Zimbabwe from 2009 to 2013. Dr. Léautier has a strong track record in management, capacity building and operations with a specialty in turning around organizations to better performance, establishing and enhancing brand, and restructuring non-performing portfolios. Her expertise and experience entails leading and developing high performance teams, ensuring effective strategies for entry and delivery in a variety of sector settings and scenarios.

This experience has been gained from having restructured multiple organisations and departments while at the World Bank as well as at the ACBF. Dr. Léautier holds a Master of Science in Transportation from Massachusetts Institute of Technology (MIT) and a PhD in engineering from MIT.

Habari zake zingine hizo hapo

Meet Dr Frannie Léautier - Africa’s Queen Of Development - Ventures Africa
Shikamoo mleta uzi.
 
Kama huyu mama anaweza kuwa productive zaidi huko aliko kwa ajili ya Tanzania wacha abakie huko. Kama atakuwa productive kama legislature then JPJM anajua lililo jema kwa taifa hili.

Kwa bahati mbaya watu wengi waliothaniwa ni wazuri sana walipopelekwa bungeni na kufundishwa siasa za upinzani (partisan politics) tija yao ilikuwa kwa vyama vyao tu (yaani kura za ndiyooooo, ili tu kufurahisha chama anachotarajiwa kukiwakilisha).

Kama yuko hapa Tanzania na anafanya vizuri kwenye maendeleo ya jamii wacha aoongezwe na aendelee huko; tusijemuingiza kwenye siasa na kumharibu.
 
Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na MWENYEKITI wa Mkoba Private Equity fund ambayo inafanya kazi nchi mbali mbali chini ya uongozi wake.

Huyu mama kasoma kwenye chuo kinachoongoza kwa ubora duniani cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) ambako kasomea degree zake zote mbili ya Master of Science in Transportation na PhD in engineering.

Huyu mama nimemsikia mwenyewe kipindi cha ITV kilichorushwa jana tarehe 11/1/ 2015 kuanzia saa 3 hadi saa tatu na nusu usiku.Huyu mama ana uwezo mkubwa wa kuwasaidia watanzania.Unaweza omba hiyo Telecast kutoka ITV umsikilize mwenyewe.Mama yuko vizuri

Hata kama hamna nafasi ya ubunge mtafutie nafasi.Wasomi wachache sana na wataalam kama huyu waweza rudi nchini kuwasaidia watanzania wenzao.

Ni mama ana shughuli zake wala hagangi njaa kwa mtu ninachokuomba mheshimiwa Raisi mbembeleze mpe nafasi hata ya ushauri wa raisi,mkurugenzi mtendaji wa taasisi za kifedha,au cheo chochote kikubwa sana kinacholingana na hadhi na uwezo wake.Inaweza kuwa vigumu yeye kukubali lakini mimi naomba na yeye akusikilize kama utamwomba

Ingekuwa baraza hujaliunda ningetaka umpe ubunge na uwaziri moja kwa moja.

CV YAKE KWA UFUPI HII HAPA

Dr. Léautier is a Tanzanian national with more than 20 years of management and operational experience from the private sector and international development institutions.

She has worked extensively in emerging markets in Asia and Latin America as well as in 49 countries in Africa. Dr. Léautier worked for World Bank in various capacities including as Director of Infrastructure, Vice President and Head of the World Bank Institute, and Chief of Staff to the President of the World Bank. After leaving the World Bank, Dr. Léautier became the Founder and Managing Partner at The Fezembat Group, a company focused on risk management and leadership development.

Most recently, she was the Executive Secretary of the African Capacity Building Foundation (ACBF) based in Harare, Zimbabwe from 2009 to 2013. Dr. Léautier has a strong track record in management, capacity building and operations with a specialty in turning around organizations to better performance, establishing and enhancing brand, and restructuring non-performing portfolios. Her expertise and experience entails leading and developing high performance teams, ensuring effective strategies for entry and delivery in a variety of sector settings and scenarios.

This experience has been gained from having restructured multiple organisations and departments while at the World Bank as well as at the ACBF. Dr. Léautier holds a Master of Science in Transportation from Massachusetts Institute of Technology (MIT) and a PhD in engineering from MIT.

Habari zake zingine hizo hapo

Meet Dr Frannie Léautier - Africa’s Queen Of Development - Ventures Africa
Mbona wewe hauombi kuteuliwa, au wewe haujasoma?
 
Back
Top Bottom