Recent content by Art

  1. Art

    Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

    Naunga mkono hoja, bila hivyo elimu itakosa thamani kabisa.
  2. Art

    Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

    Mkuu umefafanua na kumalizia vizuri sana...akitukana atakuwa pia brain yake ipo ki Open open pia.
  3. Art

    Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

    Angalia hata kuandika tu kiingereza cha kawaida huwezi...huwa mnafundishwa kwa kiswahili nini?
  4. Art

    Hapa kuna nini jamani?

    Mimi kuna mmoja naye hivyohivyo na aliniambia hataki kuchezewa na kuachwa hivyo nijipange nikajitambulishe kwao hata kwa ndugu zake wachache,nikamkubalia hata kwa wazazi wake ila ndio hivyo mara nikipiga simu yake nakuta busy...mara hajibu msgs ila eti bado anasema mimi ndio ntajuwa mume wake...
  5. Art

    Wadada tupeni uzoefu katika hili

    Lipia hili tangazo kwenye MPESA namba ya wakala 14888
  6. Art

    Wanaume wenye Upara ni hatari kitandani!

    Kipara cha wapi?
  7. Art

    26+ we bado homeboy/ homegirl?? aibu zako!!

    Baambie Bajinga bakuelewe...!!!
  8. Art

    26+ we bado homeboy/ homegirl?? aibu zako!!

    Unataka waje kuishi nawewe wakupe company nini???
  9. Art

    26+ we bado homeboy/ homegirl?? aibu zako!!

    Mimi sikai kwetu ila Wewe ndio Duwanzi kweli usiyetaka kujua ni sababu ipi inayowafanya baadhi ya wanaume kuendelea kuishi kwenye familia zao. Kuna wengine wana uwezo wa kujitafutia wenyewe kabisa na wamejenga mbali na home kwao ila kuna sababu zinazowafanya waishi huko kwao. Usije ukafikiri...
  10. Art

    Kwanini ni rahisi mzungu kuolewa na mwafrika na sio kwa mhindi, mchina au mwarabu?

    KWASABABU:- Ni rahisi sana Mwafrika kuburutwa na kuadopt culture ya mzungu na kuishi kaaabisa lifestyle ya kizungu kuanzia mavazi,chakula mpaka malazi. Ni vigumu kwa Mhindi,Mwarabu au Mchina kuiacha culture yake na kuifuata na kupractice ya wazungu. Pia hali ya kiuchumi ya Waarabu,Wachina na...
  11. Art

    Je, ni kawaida?

    Mkuu wala usilalamike,mara nyingine hizo ni balaa na mikosi inapita mbali nawewe. Cha muhimu mwombe Mwenyezi Mungu akupatie mtu sahihi huku nawewe ukichunguza vizuri na kujenga uchumi wako. Wewe ni mwanaume hata ukioa ukiwa na 40 somethings huko hakuna tatizo.
  12. Art

    Nakosa cha kuongea na mpenzi

    Sasa ikawaje ukaja huku kwetu?
  13. Art

    26+ we bado homeboy/ homegirl?? aibu zako!!

    NI HIVII:- kimaadili inapaswa mtoto wa kike akitoka kwao aende kwa Mumewe. Pia akiishi nje ya nyumba yao iwe kwasababu maalum labda kuishi hostel au rent house kwajili ya kusoma. Ila Ukilazimisha eti kisa binti ana above 25 aishi getto ni UHUNI. Kwa Mwanaume pia inategemea na sababu...
  14. Art

    Wanaume msipende kufanya hili mtalia sana mkakosa wa kuwafuta machozi

    Kwani huyo mwanamke alikuwa hapizi mabao?
  15. Art

    Yule mke wa kachero wa TANAPA...

    Ni wa Arusha mkuu,na huyo mama sasahv ndio amebaki anamiliki nyumba aliyojenga huyo baba,anaishi na kijana wake mmoja.
Back
Top Bottom