Je, ni kawaida?

Je, ni kawaida?

niwaambie kitu wanna jf wnzangu ili ufanikiwe katka mambo yako cha kwanza ni kujituma kngne ni kujifunza kutokana na historia yaani kujua ni wapi ulipowahi kukosea usikosee tena ili kufanikiwa vizuri lakn kwa mapenzi hivi vyote nlivotaja havisaidii tuyaache mapenzi kama yalivyo msisahau Kuwa........ love is always unconditional

Nimekupata Dr F.
 
kama wanakukataa fanya shughuli nyingine mapenzi tuachie sisi tusiochagua.pia wanachagua kama ww unavyochagua usione ajabu na kujisikia vibaya


Je ule msema" kila ndege hutua kwenye tawi alipendalo" kwangu hahusiki?
 
Mkuu hata mm hiyo hunitokeaga, hauko peke yako..mademu ninaovutiwa nao huwa hawana shobo na mm, na wale madem ambao ndo hata siwataki kimapenzi ndo wanajipendekeza kwa kunitumia sms almost kila kukicha, hilo swala huwa sometimes linani-fustrate kimtindo sema ndo ivo.. Gmarra
 
Last edited by a moderator:
Mie nadhan kuna njia 3 tu za kusuluhisha hilo tatizo lako

1.tafuta pesa
2.tafuta pesa
3.nasema we tafuta pesa tu.
 
Mkuu wala usilalamike,mara nyingine hizo ni balaa na mikosi inapita mbali nawewe. Cha muhimu mwombe Mwenyezi Mungu akupatie mtu sahihi huku nawewe ukichunguza vizuri na kujenga uchumi wako. Wewe ni mwanaume hata ukioa ukiwa na 40 somethings huko hakuna tatizo.
 
Sijui mama amehusikaje hapo au umejisikia kuandika tu!!.

Sijui suala la mtu kuwa na hela, unalielewaje?
1. Mtu ataonekana anahela akiwa na kiasi gani kwenye akaunti yake
2. Au akiweza kufanya nni kwa kutumia hela zake!
3. Je utampima kwa kuangalia matumizi yake ya kila siku?
4. Au akirizika Na hela alizonazo?

Kwangu Mimi na naweza sema ninazo labda ukininganisha na wengine nitaonekana sina hela.

Kwasababu hata MO dewiji ni maskini ukilinganisha na yule tajri wa marekani.

Haya maswali yako mengi nadhani miss chaga na atoto wanaweza kukujibu vizur zaid
 
Last edited by a moderator:
Sijui mama amehusikaje hapo au umejisikia kuandika tu!!.

Sijui suala la mtu kuwa na hela, unalielewaje?
1. Mtu ataonekana anahela akiwa na kiasi gani kwenye akaunti yake
2. Au akiweza kufanya nni kwa kutumia hela zake!
3. Je utampima kwa kuangalia matumizi yake ya kila siku?
4. Au akirizika Na hela alizonazo?

Kwangu Mimi na naweza sema ninazo labda ukininganisha na wengine nitaonekana sina hela.

Kwasababu hata MO dewiji ni maskini ukilinganisha na yule tajri wa marekani.

embu kwanza nitafte utafiti nikulinganishe na mtu baadae ntarudi.

Ila kwanza nihakikishie kuwa hili sio tangazo!
 
Nilimaanishaje mkuu kuwa wao wanapenda raha tu ila shida au wakt wa hali ngumu na taabu upendo wa kweli utaupata toka kwa mama ndo upendo wake una guarantee,au hauna expire date kaka.ila wao wanapenda uwe na kazi nzuri,nyumba nzuri,usafiri binafsi na hela za kutosha pia na geto lako msebule uvutie uwe na vitu vingi vizuri kama ujuavyo,ukimkaribisha akapaona hatawahi kuuaga kuwa anasepa utashangaa amelala au mda mwingi anapenda akutembelee.
Ni hayo tu mkuu

kho kho kho khooo!
 
Back
Top Bottom