Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
Ninaona mnashambulia sana wanawake wa wamachame hapa. Ukweli utabaki kuwa kana familia ikifikia kutoelewana kubaya hasira hazina cha mchaga. Je na mauaji ya mke wa Lihundi naye alikuwa mchaga? Wapo wanandoa wengi wameuana au kuendeana kwa waganga ili kutesana. La muhimu hapa ni kujitahidi kuwa na maelewano kati ya mke na mume kwani nyie ndiyo wa mwandani wako kuliko hata ndugu yako. Anakujua madhaifu na mazuri kuliko hata mzazi wako.
Back to the killer. So far hatujahakikisha kuwa huyu mama ndiye mhusika mpaka itakapothibitishwa japo kwa kutafakari kibinadamu circumstances zinaonyesha ushiriki. Ila kwa wamachame kwa Mali na pesa usiwachezee. Na please, wachaga wa pande nyingine wako poa sana hivyo usifanye generalisation.