Hapa kuna nini jamani?

Hapa kuna nini jamani?

Mimi kuna mmoja naye hivyohivyo na aliniambia hataki kuchezewa na kuachwa hivyo nijipange nikajitambulishe kwao hata kwa ndugu zake wachache,nikamkubalia hata kwa wazazi wake ila ndio hivyo mara nikipiga simu yake nakuta busy...mara hajibu msgs ila eti bado anasema mimi ndio ntajuwa mume wake mtarajiwa. Nikaona hajui anachokifanya na ANA UTOTO MWINGI. Nikaachaba naye...sasahv nipo krb na rafiki yake ananipigia sana na kunitext sana.
 
kaa kimya na mpotezee mazima.kitendo cha kusema nakuja, then saa 4 nakuja tena afu inafika mda hapatikana huyo anawapanga mkuu sa kaona yule aliyekuwa nae kamkomalia ndo kaamua akuzimie simu. na pia ukiona umezimiwa simu jua aliyekuwa nae mda ule ni bora zaidi kuliko wewe
 
Alipokubali alategemea uanze kumwaga pesa na hizi sikukuu na mwisho wa mwaka. Sasa kaona kila mkikutana ni story tu, kamua kukupiga chini. Mkono mtupu haulambwi.
 
Indeed, yuko bize na gogo lake. She's already taken.
 
write off account yake fasta, huyo ni "pasua".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom