Recent content by arsenewenger

  1. arsenewenger

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nawatakia gunnerz wote heri ya mwaka mpya na ushindi zidi ya wagonga nyunndo.. COYG
  2. arsenewenger

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Naamini leo tunashinda pasipo shida.. Tembo mtini hadi new year..
  3. arsenewenger

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ndiyo maana nikasema var 1-0 arsenal, maana lengo ilikuwa wapewe point 3 tunawapongeza kwa ushindi..
  4. arsenewenger

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    VAR 1-0 Arsenal.. We move on.. COYG..
  5. arsenewenger

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Yupo na anapita sana humu sema mmempunguza Kasi kwa matokeo ya Jana.. coyg.. 🔫
  6. arsenewenger

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Trosard ni mtu na nusu kaka sema tu arteta ajampa nafasi vya kutosha.. Hivyo habari ya muddy haina Mashiko ukiongeza na price yake zidi ya Trosard me naona ka tulilamba dume..
  7. arsenewenger

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Binafsi niwapongeze wana Chelsea kwa matokeo na mpira mzuri mlocheza Jana, japo timu yenu Bado haijakaa vyema.. Ukijaribu fuatiliya mechi ya Jana mbali na kucheza vizuri na kutengeneza nafasi nzuri still hamkutumia ata moja, hivyo magoli mlopata ni kama bahati nje na nafasi mlopata, (1-penati...
  8. arsenewenger

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Naomba nikukumbushe kaka, swala la mudy alitusumbui vichwa kwani Jana kafunga but aliyeletwa kuwa mbadala wake pia katimba ndani na kafunga, so automatic ilipunguza maumivu, Ahsante kwa goli la Trosard...😂
  9. arsenewenger

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kweli aisee arsenal Jana ilikuwa hovyo, Chelsea alistahili kushinda kulingana na nafasi walizotengeneza.. japo binafsi niwapongeze kwa droo walopata..
  10. arsenewenger

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kocha wkt mwingine anazingua na upangaji wa timu aisee..
  11. arsenewenger

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kweli aisee, ni mawazo yake anaamini ktk kushinda tu, so lazima hufate maoni yake Amini kivyako..
  12. arsenewenger

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Yap, ofcoz man the one and only hope we have frm sub..
  13. arsenewenger

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hope jorginho atapaform vizuri Leo..
  14. arsenewenger

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hapa ni mwendo wa kuenjoy tu, pole sn nyumbu.. coyg..
  15. arsenewenger

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Me, Iryn.. 1- Cutie.. 2- Delicious..(Ref, insider man) 3- Humble lady.. 4- Rich..(Bossy lady).. 5- Insider man hit her papuchi..🎯
Back
Top Bottom