Recent content by arsenality

  1. arsenality

    Makosa kwenye kuaply mkopo

    Inabidi aende makao makuu ya bodi akaombe kufutiwa akaunti hiyo yenye makosa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. arsenality

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Boni Mwaitege alisema wasichana wazuri ni kazi ya mikono ya Mungu.Tumshukuru Mungu kwa uumbaji wake usio na kasoro. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. arsenality

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Wahi hospitali Sent using Jamii Forums mobile app
  4. arsenality

    KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Hakuna kiongozi nitakayemheshimu maisha yangu yote kama Kenyatta kwa kweli anajua maana ya separation of power.Hajakosea kwa hili alilolifanya naamini atashinda kwenye hayo marudio ya uchaguzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. arsenality

    Kubana Matumizi: Baraza la Mawaziri na mlo wa "Chips Mayai"

    Acha wale zege watanzania walio wengi wanashinda na kulala njaa.Wakibahatisha mlo mmoja wanamshukuru Mungu.Hao mawaziri kwao mambo super hakuna waziri ambaye mwanae anajua mlenda,si vibaya baba kuteseka ili mwanae apate raha.
  6. arsenality

    Mke wa mtu anasema eti ana mimba yangu.

    1:Sikujua kama ni mke wa mtu 2:Mwanzoni nilitumia kinga baadae tulivyopima tukawa huru kuchenjuana bila soksi 3:Hatukusaini mkataba wowote ilitokea accidentally.
  7. arsenality

    Mke wa mtu anasema eti ana mimba yangu.

    Ni bora ungetoa ushauri ndugu kuliko kutoa tusi zito kama hilo yani unajua kumwita mtu kinikia kwa kipindi kama hiki unakua humtendei haki.Kinikia ni tusi la mwaka.Pia elewa psychologically siko vizuri.Tambua kua yule dada alishauriwa asitoe mimba na mama yake mzazi baada ya usuruhishi kufanyika...
  8. arsenality

    Mke wa mtu anasema eti ana mimba yangu.

    Habari za asubuhi wapendwa? Ni mwaka mmoja sasa tangu nilipokutana na dada mmoja kwenye gari.Dada yule sikuwa nafahamiana nae kabla ya siku hiyo ya safari na nilikua sijawahi kumuona popote. Siku niliyokutana naye tulikua ndani ya Toyota hiace inayobeba abiria kutoka huku kijijini niliko kwenda...
  9. arsenality

    Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    Ngoja na mimi *nione*bahati yangu sijathibitisha.
  10. arsenality

    DSM: Walemavu wakamatwa na polisi kwa kukaidi agizo la kutoingia na baiskeli mjini

    Hata kama hawakua na kibali cha maandamano polisi hawakufanya vizuri kwa kweli.Hiyo video huwezi kuitazama mara mbili inasikitisha sana.Utawala gani huu usiojali utu?Mwigulu Nchemba hili si la kufumbia macho inabidi utuoneshe ile dhana ya uwajibikaji.Jitafakari mh.Mwigulu na ufanye uamzi sahihi...
  11. arsenality

    Usiombe mwanaume uishiwe yaani full stress hapa nina mia tu wakat salary 1,800,000 per month

    Ningekuwa na mshahara kama wako stress zote nilizonazo zisingekuwepo.Matumizi yangu yasingezidi laki tano kwa mwezi tena hapo ningekuwa naishi maisha ya starehe sana.Kusaidia ndugu na jamaa haizuliki kwa mwezi ningetenga laki tatu tuu.Mafuta ya gari na pikipiki yangegharimu laki...
  12. arsenality

    IKULU, DAR: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Prof. John L. Thornton

    Sitaki kuamini kilichomo kwenye hii tamthiliya ila ngoja niendelee kuiangalia.
  13. arsenality

    Rais Magufuli akitaka tumuunge mkono afanye haya, kinyume na hapo kamwe hatuungi mkono porojo

    Sahau yote uliyoyasema ni ngumu kufanyika hasa hili la katiba mpya na bunge live hawezi kuruhusu.
  14. arsenality

    Nini maoni yenu juu ya internet ya Halotel?

    Wako vizuri kwa virushi vyao vya internet mb nyingi lakini kwa maeneo yaliyoko mbali na mji huwa wanasuasua sana internet iko slow kupita maelezo.Voda kwa vijijini mtandao una kasi kuliko mingine tatizo lao ni wezi.
  15. arsenality

    Ronaldo vs Messi: Msimu wa 2016/2017

    Nadhani Cr7 msimu huu kafanya vizuri zaidi ya Andunje.Ballondor apewe Cr7 anastahili.
Back
Top Bottom