Makosa kwenye kuaply mkopo

mr_yoo

Member
Oct 14, 2016
37
95
Nina ndugu yangu amehitimu kidato cha sita ila kuna mtu mwingine amejisajili kuomba mkopo kwa kutumia taarifa namba yake ya kidato cha nne kimakosa na akaachia usajili katikati baada ya kukosea hivyo huyu ndugu yangu kila akijaribu kuaply anaambiwa umeshasajiliwa.

Tafadhali naomba ushauri nini afanye ili aweze kujisajili kabla mda haujaisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rays Dinho

Member
Feb 2, 2015
94
95
msaada nimekosea ,nimeandika jina lisilo kamil,badala yake nimeandika jina moja pekee ,yaani mfano mzazi anaitwa SHIDA MATATIZO TABU ,nami nimeandika SHIDA.
NINI nifanye ukizngatia nimeshaprint form.
 
Vicin

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
676
500
Nina ndugu yangu amehitimu kidato cha sita ila kuna mtu mwingine amejisajili kuomba mkopo kwa kutumia taarifa namba yake ya kidato cha nne kimakosa na akaachia usajili katikati baada ya kukosea hivyo huyu ndugu yangu kila akijaribu kuaply anaambiwa umeshasajiliwa. Tafadhali naomba ushauri nini afanye ili aweze kujisajili kabla mda haujaisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia pale chini kuna pakuchange form four index namba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vicin

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
676
500
msaada nimekosea ,nimeandika jina lisilo kamil,badala yake nimeandika jina moja pekee ,yaani mfano mzazi anaitwa SHIDA MATATIZO TABU ,nami nimeandika SHIDA.
NINI nifanye ukizngatia nimeshaprint form.
Duh....
Ukishaprint huwezikubadilisha chochote, we endelea tuu, zaidi omba Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
herikipaji

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
1,001
2,000
msaada nimekosea ,nimeandika jina lisilo kamil,badala yake nimeandika jina moja pekee ,yaani mfano mzazi anaitwa SHIDA MATATIZO TABU ,nami nimeandika SHIDA.
NINI nifanye ukizngatia nimeshaprint form.
Usihofu hakuna utata. Nafikiri majina kama yanatakiwa yote matatu wangekueleza first, middle and surname.
Mtazamo wangu lakini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom