Recent content by arola

  1. arola

    Vita nzito Clouds FM Vs Times FM

    Times nimesikia wanatangaza mida hii hukusu mgogoro wao na Davido dhidi ya PrimeTimes Promotion. Wanadai wamefungua kesi mahakamani ili haki itendeke. Tehteh teheee. Yaan we unakimbilia mahakamani wakati jirani yako ashapiga mpunga wa kutosha!!! Hapo zaidi utasikia, Basata yawaadhibu clouds...
  2. arola

    Picha namna K-Lyn alivyosherekea birthday party yake chini ya Mengi na Diamond Platnum

    Hachuji wapi wakati anaishi kwa kula ARV's
  3. arola

    Kwa Nini Marekani Duniani?

    Nafikiri ukisema wana roho mbaya ndio utakua sahihi kuliko kutumia neno wivu. Wanachukiana hadi wao wenyewe.
  4. arola

    Fiesta DSM yamaliza ubishi wa nani mkali Ally Kiba na Diamond.

    Amini usiamini hili bifu linakuzwa na mitandao ya kijamii na wanaolikuza ni wale ambao hata hawajakanyaga leaders zaidi ya kusimuliwa au kuliangalizia runingani. Ukweli ni kwamba Kiba alishangiliwa zaidi ya Diamond hilo halipingiki. Wala Diamond hajazomewa kiasi hicho kama mnavyotaka dunia...
  5. arola

    UKAWA waikubali katiba iliyopo kwa asilimia mia

    Katiba ina mapungufu yake lakini ni nzuri huwezi kuilinganisha na ya 1977. Kuikataa ni kujitoa ufahamu ili kuwafurahisha waliozaliwa kupinga kila kitu.
  6. arola

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anatangaza maandamo kisha anafanya safari na viongonzi wa CCM

    Jibu zuri sana. Ndo maana na #Ritz kauliza kuwa mbona ikitokea kwa Zitto kusafiri na viongozi inakua nongwa lakini kwa Mbowe kusafiri na viongozi inakuwa sawa na hapo ndo mnaleta drama za utanzania???? Huoni kama hapo kuna mtu amekua akihukumiwa bila hatia???
  7. arola

    Jinsi Diamond alivyombadilisha Ally Kiba

    Tiketi zimeuza ma-agent wote wakaishiwa akabaki mmoja alikua na ki noah anauzia ndani ya gari. Alivyojua wenzake wamemaliza tiketi akapandisha bei hadi 40 hutaki unaacha. Sasa hata ungejifanya ni muhuni ungefanyaje zaidi ya kupiga salute na kuweka mkono mfukoni kutoa wallet??? Hakuna watu...
  8. arola

    Kumuita Diamond msanii wa kimataifa ni kichekesho

    Hahahaha watu kwa kukatishana tamaa mnatisha.
  9. arola

    Jinsi Diamond alivyombadilisha Ally Kiba

    Yote nimekubaliana na wewe kasoro kwenye viingilio. Unasema leaders kulikua na viingilio vya mbuzi? We chizi kwelikweli. Hata sehemu ya tukio hujafika ndo maana unaongea hayo. Diamond kapiga shows za sh elf 50 ngapi toka aanze muziki? Kama ni nyingi hazizidi hata 3 au nne na mbali ya kuwa na...
  10. arola

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Jaman leo vp man u tupo uwanjan kwel au?
  11. arola

    Uchawi umedunda kwa Ally Kiba

    Hilo tamko limetolewa na nani wakati leo jpili? Kuna ofc iko wazi? Hata kama amin hiyo kesi ni ndogo sana.
  12. arola

    Serengeti fiesta 2014 special thread

    Wameshindwa himaya ya Mengi? We huonagi kila siku wanamuibia wafanyakazi?
  13. arola

    Serengeti fiesta 2014 special thread

    Hahahaha ndugu hawa jamaa bado wapo tena sana usifikiri jk anaweza kuondoka nao. Labda useme siku ccm ikitoka madarakani ndio wanaweza kuishiwa. Lakini bado naona hata ikija chadema wataendelea kutesa tena kwa sana tu kwani Mbowe ni mshkaji wao ndo usiseme kabisa. Wanampelekeaga dili nyingi sana...
  14. arola

    Serengeti fiesta 2014 special thread

    Ndugu uko wapi? Mbona hii issue ishaelezwa sana hapa jamvini??? Davido alikua ashachukua advance ya mpunga kutoka Times Promotion kwa ajili ya show ya climax inayofanyika tarehe 1 Novemba hapa Bongo. Na kwenye matangazo ya Radio Times Fm walikua washaanza kumfanyia Promo. Kwenye ratiba ya...
Back
Top Bottom